ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,724
- 5,288
Habarini wadau,
Daah asee mambo haya yanatisha kwakweli. ukizingatia yapo kwenye jamii yetu na tunayashiriki ki namna moja ama nyingine.
Sasa basi miezi mitatu iliyopita nilishiriki hizi ngono zembe hizi na mdada ambaye hata hatujuani kwakweli, ilitokea tu tukajikuta tushashiriki hivyo (msinishambulie jamani sababu hamjui kesho yenu).
Daah sasa Anko wenu mawazo yamenijaa tele, nimesalimika kweli? Nikikohoa tu najistukia ndio teyari nini?, Nikiumwa kichwa tu ohooo! nikiharisha kidogo halahaulaaa! Daah sasa nikaona isiwe taabu, nitaendelea kuumia kwa mawazo mpaka lini.
Ndipo nikajitutumua kwenda kupima. Lakini si kupima hiv kama hiv bali kufanya full blood count. Nilipoenda daktari akaonesha vipimo vyangu viko sawa tu yaani proportions za blood cells zinaonesha kua hazijashambuliwa na bacterial or viral infections.
Mzee mzima kwa majibu hayo nimepata faraja kidogo. Sasa nauliza je kwa majibu haya ni wazi kua sitokua na maambukizi ya hivi?
Karibuni wadau.