Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
Huyu mtoto ana siku 45 toka azaliwe!
Amekuwa anataka kunyonya muda wote ukimtoa kwenye nyonyo anagombana kabisa! Analia saana huku akirusha mikono na miguu! Kuna wakati anyonya anatema maziwa anaendelea kunyonya!
Jumanne kuanzia asubuhi hadi jioni ilikuwa ni kunyonya tu! Akilala akaamka anataka nyonyo! Akitolewa analia mnoo! Usiku pia ikawa hivyo! Jumatano nikaamua kwenda kununua Lactogen 1! Usiku mama yake akamkorogea kidogo kama 100Mls. Mtoto alilala hata ile demand yake ya kunyonya ikaisha!
Mpaka saa saba mama yake ndio akamnyonyesha!
Maziwa ya mama yanatoka mengi tu!
Je, ni kwamba hashibi maziwa ya Mama?