Msaada wa daktari mzuri wa ENT dar es salaam

vee15

Senior Member
Aug 8, 2016
118
54
Nina shida wa daktari wa mambo ya ENT kwa hapa dar anapatikana clinic gani nzuri inayotumia bima ya afya
 
Regency wanatumiaga bima kk NHIF
Yep...wanatumia kaka,kuna mdau hapo juu ameshauri uende Ekenywa but hawatumii NHIF labda kama private ila gharama zao zimechangamka kidogo.kila la kheir.
 
nenda ekenywa miaka ya nyuma nilikuwa nasumbuliwa na allergy ya kuwa na mate yenye mahozi mengi pamoja na kukohoa na mafua yasiyoisha nikapona
 
nenda ekenywa miaka ya nyuma nilikuwa nasumbuliwa na allergy ya kuwa na mate yenye mahozi mengi pamoja na kukohoa na mafua yasiyoisha nikapona

Sawa Ekenywa wanakubali bima za NHIF?
Ama wewe ulilipa cash
 
Back
Top Bottom