Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

NIMEONA UZI UNAELEZEA HILI JAMBO KIIMANI, MIMI NITAJITAHIDI KUELEZEA KISAYANSI. Kwanza ujue tatizo limetokea chooni au bafun? 1. BAFUNI Hapa tunaangalia yule aliyeenda kuoga. Kwanza unatakiwa...
9 Reactions
16 Replies
6K Views
  • Closed
Iwapo utagundulika kuwa na vidonda vya tumbo epuka matunda jamii ya Citrus kama limao na machungwa, Sigara, Pombe, Vyakula vyenye viungo vingi, pilipili, kafeni kama vile kahawa, chokoleti. Pia...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Habarini za majukumu ndugu zangu. Nasumbuliwa sana na mgongo, niliwahi piga X-ray na imeonyesha pingili hazina mpishano mzuri kutokana na ukaaji chini muda mrefu. Dr alinishauri niwe navaa mkanda...
6 Reactions
59 Replies
8K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Wakuu nawasalimu. Wakuu nasumbuliwa sana na hali ya kichefuchefu, kila mara baada ya kula nahisi kichefuchefu sana. Nimejaribu kutumia dawa za...
0 Reactions
64 Replies
84K Views
  • Closed
Kuwa makini unapochagua mtu wa kumuomba ushauri. Zingatia uzoefu wa huyo mtu kwenye jambo husika na ukaribu mlionao Kuwa wazi juu ya unachotaka kushauriwa, elezea vizuri chanzo cha tatizo lako...
2 Reactions
0 Replies
671 Views
Habari wana jf, nimekuwa na tatizo linalonisumbua takribani miaka minne sasa, kucha zangu za vidole vya miguu zinaota kwa kuchimba nyama kitu ambacho wakati mwinginw hunisababishia maumivu makali...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Wandugu habari za leo! katika pitapita zangu nimekutana na hii multi macca vitamin ikiwa inasifiwa kwa kuleta hamuu na stamini kwenye ndoa. Sijawahi itumia ningependa kupata mrejesho kama...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
msaada jamani nimemeza dawa za U.T.I Mchana saiv nitaka ninywe Wine hapa inafaa
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimengoa jino,leo ni siku ya nne ,lakini bado sioni dalili ya kupona na dawa zimeisha
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau nimekuwa nikifanya haya mazoezi 10km per day kila siku asbh. But magoti yanauma baadhi ya siku. Kiatu natumia raba sole yake inanyama kubwa tu, nakimbia kuzunguka uwanja mpaka 10km itimie...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari JF doctors, Tafadhali naomba kuuliza kuwa kuna uhusiano kati ya kitovu kikubwa kwa mtoto na kupatwa maumiv ya tumbo ya mara kwa mara hasa kipind cha baridi?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mko poa madr wa jf Wapendwa mimi Nina mtu wangu wa karibu ana tatizo la usikivu yaani hasikii vizuri. Ni tatizo la muda mrefu Sana Sasa swali liko hapa Je Kuna vyakula au vitu ambavyo akila...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam Watalaam wa Tiba na wana-JF kwa ujumla. Bila kuwapotezea muda, ningependa msaada wenu kuhusu ugonjwa wa Kibofu cha Nyongo ambao unamsumbua sana mama yangu. Baada ya kwenda hospitali, mara...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kuuliza .Madini ya zinc kwenye mwili wa Binadamu yanasaidia nini ?
0 Reactions
7 Replies
14K Views
  • Closed
Kujitenga ghafla na marafiki, familia na jamii Kuongeza kiwango cha matumizi ya #pombe na #DawaZaKulevya Tabia ya ukali ya ghafla na mabadiliko makubwa ya mhemko (mood swing) Tabia ya ghafla...
5 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba anayefahamu hospital nzuri kwa mambo ya uzazi. Kwa mfano kama mtu anahitaji kwenda kupima ubora wa mbegu za kiume.
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kuna hiki kitu kinaonekana cha kawaida na kimezoeleka na mtu sio rahisi kutokukifanya au kuki avoid. Lakini ukijaribu kukifikiria sana (deep thought) unagundua kuwa ni kitu cha ajabu sana na...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
A malaria vaccine has proved to be 77% effective in early trials and could be a major breakthrough against the disease, say its developers from the University of Oxford. Malaria kills more than...
0 Reactions
1 Replies
563 Views
Habari, Wakuu naomba msaada. Mwanangu mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu amekuwa akitokewa na vipele miguuni (rejea picha hapo chini), akivikuna vinakuwa kama vidonda. Usiku vinamuwasha anateseka...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Natanguliza na salama kwa WaJF wenzangu. Juzi nilijisikia kuwashwa mwili mzima na nikijikuna sifuri wala hapatokei vipele nilienda hospitali nikachomwa sindano. Baada ya wiki nikaanza kusikia kwa...
0 Reactions
8 Replies
983 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…