Habari ya weekendi wana jamvi.
Naombeni mnisaidie kuhusu tiba ya huu ugonjwa wa ngiri ya tumbo yani nakosa adi raha tumbo launguruma na miushuzi kibao kila dakika nashindwa adi ku perform...
Jamani Nina tatizo la ngozi Naomba kujua Tiba yake ngozi Ina kakamaa miguu yote ilianza kidogo saiv naona inaongezeka
Kama unajua dawa au namba ya dokta anaye weza nisaidia tafadhari
Naomba msaada wenu. Wife wangu amekuwa na tatizo la kutopata usingizi wakati wa usiku na mjqmzito wa miez 3.
Hii hali imekuwa tete sasa. Kwa maana anaweza asilale hata wiki nzima wakati wa usiku...
Habari wakuu mimi kijana wa miaka34 nina shida ya kushindwa kurudia raundi ya pili katika tendo kwa miaka 10 Sasa naraund ya kwanza ni dk8 nimemaliza na siwezi rudia Tena hata iweje mpaka baada ya...
Habari ndugu zangu.
Leo nimekuja tena kijana wenu nikiwa na mada nyengine. Hivi karibuni kuna huu ugonjwa unao kuja kwa kasi sana wa bawasiri( ugolo) au kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa...
Kweli mimi ni kijana nina umri wa miaka 22, sasa na sijawahi fanya mapenzi mpaka umri huu.
Nilikuwa najihusisha na masuala ya kupiga punyeto, nimekuta humu wanaiita CHAPUTA. Nilianza kupiga...
Members naomba msaada wenu.
Nasumbuliwa sana na kukosa choo and ikitokea nakipata inakua mithili ya choo cha mbuzi. Mpaka nakuja kupresent hapa nimetumia dawa nyingi sana kama lactulose(osmolax...
Kumekuwa na matangazo mengi kuhusu matibabu ya nguvu za Kiume kwa kutumia food supplements kama Agu, Mult Macca na nyinginezo. Nahisi wengi wetu tutakuwa tumezitumia na kuona ubora wake. Kwa kuwa...
Jana muheshimiwa Rais alisema hakuna tofauti kati ya ubongo wa mwanamke na ule wa mwanaume.. Naafiki kauli yake lakini wanasayansi wanasema kuna tofauti.
Kuna mmoja ameniambia ubongo wa mwanaume...
Habari wanajamvi,
Bila kupoteza muda niseme kwamba nimekuwa nikiishi na tatizo ambalo kwa sasa naona linahatarisha mahusiano yangu.
Nilikuwa na mahusiano yaliyodumu kwa miaka minne na kwa...
Wazee wa Pochi NENE mpo?
Wavulana wengi wana tabia ya kuweka mkoba (WALLET) yenye inchi nusu au zaidi ikitegemeana na wingi wa vitu vilivyopo kwenye mkoba huo kwenye mfuko wao wa nyuma wa nyonga...
Nimegundua nina tatizo sugu la kutafuna kucha kiasi kwamba sikumbuku ni lini nilitumia wembe au nail cutter, je hili ni tatizo gani na nawezaje kukabiliana nalo?
Pia nina mazoea ya kunawa pale...
Habar wana jf nisaidie ndgu yangu alianguka na baiskel akaumia mkono kiganja kikavimba na akawa na kidonda kidogo.
Sasa alipata matibabu ya kawaida leo ni siku ya 7 tangu aumie sasa leo kazidiwa...
Wataalam wa afya nawasalimu.
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, kuna mtu nae mfahamu mke wake ni mjamzito. Wakati anaanza clinic dispensary moja ya serikali hapa Dar alipimwa kila kitu...
Habari
kuna suala nimeskia watu wanasema chumvi ya mawe kwa wanawake walio jifinguaa ina matumizi mengi sana.
Je, hivi chumvi ina kazi gani tena maana nasikia ni dili?
Asanteni
wakuu wiki tatu Sasa nyumba haikaliki ni kelele zisizo na mwisho
Uzuri mimi ni mumini mzuri wa tiba asilia hivyo nikaona nilitafutie hili uvumbuzi kiasili tena kienyeji kabisaa.
Nisiwe na maneno...
Habari zenu wadau,
For sometym nimekuwa naona watu wakijua mtu anabusha basi akikatiza mitaa ile wataanza kummock dat person in different ways including kujambisha (hopefully tunajua when i say...
•Kuwa na umri wa chini ya miaka 20 au zaidi ya 40
•Kuwahi kutoka kwa mimba hapo awali
•Kuwa na uzani mdogo sana au mkubwa sana wa mwili
•Kufanya kazi saa nyingi na zamu za usiku
•Kuwa mweusi...
Habari za sasa hivi,
Hivi tatizo la midomo (mdomo wa juu na wa chini) pamoja na meno kidogo kufa ganzi kila siku husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?