Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

https://www.directorstalkinterviews.com/astrazenecas-tagrisso-approved-in-eu-in-early-lung-cancer/412993871
0 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Kwikwi hutokana na kushtuka na kusinyaa kwa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi kwenye mapafu. Kwikwi sio ugonjwa; kwikwi...
3 Reactions
2 Replies
8K Views
I'm fine now thank you. It was nothing serious. Regards.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wananzengo Ni huduma gani ya kwanza anayotakiwa kupewa mtu aliyepaliwa?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Wakuu muu hali gani naomba kujua kinachosababisha mkanda wa jeshi na indicator zake pia madhara yake na kami huu ugongwa una tiba...
2 Reactions
309 Replies
172K Views
Habari wana JF, Recently kumetokea ugonjwa wa ngozi haswa kwa maeneo ya Dar na Moro, ambapo mwili huwasha na kutoa vipelepele ambavyo hutoa kama maji maji hivi na hali hii hutokea kwa wakubw na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za jioni? Mimi ni kijana wa miaka 32 kuna tatizo kwa kweli limekuwa likinikosesha raha sana, nimeona nikilileta hapa jamvini ninaweza kupata suluhisho. Kama nilivyoainisha hapo juu...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Ninawasalimu katika jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania na kazi iendelee. Tafadhali ninaomba msaada ninatatizo la kuumwa kichwa sana hasa kuanzia muda wa mchana kichwa kinauma sana hasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nina miezi kaadhaa naangaika na tatizo la kuvimba upande wa jicho la kushoto mpaka mashavuni, nilipomuona daktari awali aliniandikia dawa hizi Celestamine na gluslovin but still tatizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu.Nina shida ya mafua kwa siku tatu sasa nimejaribu kupiga nyungu ila wapi,Nasikia vitunguu swaumu vinasaidia ila sijui namna ya kuvitumia naomba msaada. Au kama kuna dawa yeyote ya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Njia tano za asili za kuondokana na miguu kuwaka moto Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo kushindwa kusinzia japo anahisi kusinzia. Miguu...
6 Reactions
9 Replies
107K Views
Mei 24 kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Ugonjwa wa Skizofrenia (World Schizophrenia Day). Huu ni ugonjwa unaoathiri fikra, hisia na kumfanya mtu kushindwa kujitambua vizuri. Hakuna chanzo...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Wataalam habari za Muda huu? Naomba msaada wa elimu katika hili. Baada ya kuishi na mke wangu kwa muda wa miaka mitatu Sasa bila kupata hata dalili yoyote ya mimba maana hata period yenyewe...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Mimi ni mmoja wa watu wanaoishi kwenye ndoa. Nina jambo ninataka kushirikiana nanyi. Je ni vibaya au ni vizuri kwa mtu kuchukua kufuli/chupi ya mkewe au mke kuchukua ya mumewe na kuinusa kila...
1 Reactions
56 Replies
16K Views
Ningependa kufahamu iwapo mtu akiwa na mazoea ya kumeza makohozi anaweza kupata athari zozote kiafya. Na kama athari zipo ni zipi?
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Habari ndugu wanajukwaa, Nauliza ukiachilia mbali kuvumilia mpaka muda fulani vipoe na usiwashwe au kupaka mchanga majivu na mbinu nyingine za kawaida je, kuna dawa ya vitu vinavyowasha kwa mfano...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari naomba huu uzi tuelimishane kuhuusu ukosefu wa mbegu za kiume na kutosimamisha vizuri, kunaweza leta ukosefu wa kupata mtoto kwa Wanaume. Leo kuna Rafiki yangu kaenda Kwenye herbal Clinic...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Katika mada yetu ya leo tutalijadili tatizo la kukusa hedhi ambalo kitaalamu huitwa amenorrhea. Mwanamke anakuwa na tatizo hilo pale ambapo anakosa hedhi kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo, au...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari wakuu na madaktari wa hili jukwaa. Nimepata changamoto ambayo imebidi nije wajuzi mniambie what could be wrong. Few month ago kama miezi miwili hivi nilianza kuwasha juu ya ngozi kifuani...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari, Mimi na mtoto wangu macho yanatuwasha sana hasa kipindi tukitoka kulala. Nlianza mimi baba leo naona binti yng wa 2yrs nae pia. Msaada pls
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…