Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa ngozi?

Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa ngozi?

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
751
Reaction score
659
Habari wana JF,

Recently kumetokea ugonjwa wa ngozi haswa kwa maeneo ya Dar na Moro, ambapo mwili huwasha na kutoa vipelepele ambavyo hutoa kama maji maji hivi na hali hii hutokea kwa wakubw na wadogo.

Je, ni ugonjw wa msimu?
 
Yaani itakua kabisa Maana umenikuta Mimi na familia nzima nahangaika hospitals mpaka nimechoka wanangu wamepona kazi Mimi sasa, nawashwa mpk naomba pooiisina hamu jamani.
 
Hapa kwetu tumevamiwa na wadudu hata hawaonekan n kama utitiri wanavyotembelea kwenye mwili wanasababisha muwasho na ukjikuna unapata upele baadae vidonda kwa wakubwa na watoto,ila watoto wanaathirika zaidi wanakuwa na upele na vidondo masikion matakon kwenye mikono shingoni
 
Yaani itakua kabisa.. Maana umenikuta Mimi na familia nzima nahangaika hospitals mpk nimechoka wanangu wamepona kazi Mimi sasa...nawashwa mpk naomba pooiisina hamu jamani
uko sahihi, ugonjwa huo ulipiga hodi kwenye familia yangu kabla ya kwenda hospital kumuona mtaalamu wa magonjwa ya ngozi ikabidi tuache tuone maendeleo after weeks ikatoweka kabla ya kwenda, ni kweli huo ungozi ngozi upo mtaani. Wataalam watafiti wa afya walifanyie kazi
 
Hizo ni SCABIES mkuu mara nyingi inawapata watu wanaokaa kwenye mazingira kama magerezani, shule za boarding na maeneo mengine yenye mkusanyiko wa namna hiyo.

Njia kubwa ya maambukizi ni jasho so kushare na mtu nguo, shuka, kitanda na vitu vya namna hiyo kunaweza pelekea kupata maradhi hayo.

Kuna haina nyingi ya dawa ambazo zinaweza tibu maradhi haya nazo ni SCABOMA,PERMETHRIN REAM, STROMECTOL,CROTAMITON.
Ukianza kutumia dozi hakikisha unafua nguo zako zote kwa maji ya moto hili kuua vijidudu vyote kwenye nguo hizo.

KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA HOSPITAL ILIYO KARIBU NAWE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom