Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari mkuu, Nimebahatika kupata mtoto wa kike mrembo kweli kweli, lakini mpaka Sasa ana miezi 10 lkn ukimwangalia ni kama anamiezi 5. Bado hajakaza kukaa vizuri, akikaa kwa muda anaanguka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
  • Closed
Kulegea kwa misuli ya kibofu na kusababisha kushindwa kuzuia mkojo Hupelekea kushindwa kutoa mkojo wote Husababisha UTI, kutokana na bakteria wanaojitengeneza kwenye mkojo Husababisha maumivu...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wana jf, Naomba msaada wa dawa ya kutibu vidonda vimejitokeza kwenye ulimi kwa sasa vina wiki 3 nimetumia dawa ya amplicox nikapata nafuu ila vikarudi tena, vinauma sana ukinywa chai au...
2 Reactions
52 Replies
10K Views
Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi. Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndugu zangu nawasalimu nyote. Wiki mbili zilizopita nilikutana na mke wangu kwa tendo la ndoa na tukatumia kondomu kama kinga kuzuia ujauzito. Toka tulipotumia Kondomu mke wangu anatokwa na...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za usiku wapendwa Wana jf, Jaman nasumbuliwa na allergy isiyoisha nimetokwa na vipele baadhi ya sehemu za mwili na vinawasha sana. Nimeenda hosp nikapimwa kweli nikakutwa na allergy ya...
0 Reactions
44 Replies
49K Views
Habari za leo wanajukwaa. Poleni sana na majukumu. Naomba mwenye kumfahamu Daktari mzuri wa mifupa. Naomba atanipm. Shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani hapa, ninajisikia kama kufa kabisa, ijumaa nilienda kuweka kambi kwenye pori moja kwa muda wa siku 2, kulikuwepo na mbu sijapata ona, niling'atwa si kawaida kusema kweli haraka...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu nilikuwa nauliza creatine monohydrate inafaa kwa kujaza body kwa mimi mtu mwembamba maana upper body imeisha sana nilianza gym lakini sijai wala nini hivi hizi supplement (poda)...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Salam wana bodi, Serikali imetutangazia na inaendelea kututangazia kuwa huduma ya mtoto chini ya miaka mitano ni bure ingawa sehemu kubwa ya watoto hutozwa pesa hasa wanapopewa huduma hizo kwenye...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Wakubwa naomba mnifunze kitu hapa, nimekuwa nikisikia kuwa unywaji wa maji wakati unakula au mara baada ya kula sio mzuri. Inasemekana unahitajika kupumzika walau saa moja kisha ndo unywe maji...
1 Reactions
19 Replies
17K Views
Mara nyingi napomnyonyesha anakuwa akipaliwa,na hapo wala simkamulii maziwa zaidi ya kumshikia tu titi ila ndo hivyo anajikuta akipaliwa kwa kweli hili jambo linaniumizaga sana, mimi tu mama...
1 Reactions
1 Replies
13K Views
Unajua madhara unayoweza kuyapata endapo utachangia taulo mmoja na mtu mwingine? Usikubali kutumia taulo moja na mtu mwingine hata kama ni familia yako, ni hatari kwa afya, wataalamu wa afya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari. Nimeona mara nyingi watu huchoma udi maduka majumbani mwao, najiuliza ni kwa sababu zipi, zina faida gani na kuna aina ngapi za udi maana harufu hutofautiana. Asanteni.
1 Reactions
112 Replies
92K Views
  • Closed
Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), Mtoto anapaswa kuanza kunyonyeshwa saa moja baada ya kuzaliwa hii husaidia maziwa ya mama kuweza kutengenezwa kwakuwa mtoto anapowekwa kwenye kifua...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu wa Afya wanasema baada ya kutumia mswaki wadudu hubaki kwenye mswaki hivyo ni muhimu kutumia maji moto unapotaka kuutumia tena. Kiusafi haishauriwi kuchemsha mswaki ili kuua wadudu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu wapendwa wana JF, Mimi nasumbuliwa na fangasi (kama utangotango/mba) katikati ya mapaja, kulikopelekea sehemu hiyo kuwa nyeusi sana. Fangasi hizo haziwashi bali zinakuwa kama...
1 Reactions
21 Replies
14K Views
Habari za usiku huu wana jamvi, poleni na uchovu wa pilika pilika za kutwa nzima , Mtaniwia radhi jamani kwa hiki nachokisema hapa, huwenda baadhi ya watu wakanielewa na wengine wasilinielewe...
4 Reactions
108 Replies
9K Views
Habari wadau, Nahitaji nipate ushauri wa mawazo na wakitaalam pia juu ya hili jambo ambalo linaniumiza kichwa. Nipo katika mahusiano na msichana takriban miezi 3 sasa gheto anakuja vzr ila kila...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…