Samahani wakuu,
Naomba kuuliza ni muda upi sahihi wa kunywa maji baada ya kupata mlo? Maana watu Wana mazoea tofauti, mwingine anakula huku anapiga maji kwenye bilauri, mwingine baada ya kumaliza...
Tangu juzi nimetapika mara moja, macho yameishiwa nguvu, kizunguzungu, kichefuchefu, misuli kukaza hasa miguuni, sasa nasikia mate yanasukari.
Muda si mrefu nimetoka kupima wingi wa damu 12...
Wataalamu naombeni majibu,
Kwanini chanjo nyingi hata hii ya Covid 19 zinatolewa kwa kuchomwa begani na sio sehemu nyingine kama makalio au mapajani au kuingizwa kwenye mshipa wa damu moja kwa...
Tooth sensitivity ni ugonjwa ambao hupelekea toothache.
Hali hii hutokea ambapo meno pamoja na fizi hupata uelewe wa kuhisi chochote. Kwa mfano meno yanapo guswa na maji baridi, meno yanapo pigwa...
Corona virus is the disease caused by virus known as SARS-COV-2 which was errupted in Wuhan china on december 2019. Corona Virus is the respiratory disease that attacks the respiratory system and...
Na Fatuma Seif
Sigara ni aina ya kilevi,kibirudisho ambacho hutumiwa na baadhi ya watu wa rika tofauti tofauti ikiwa na maana ya wanaume, wanawake, wazee na hata vijana ambao hupenda kutumia...
Habari wakuu,
Brachymetatarsia ni hali inayo sababisha vidole vya miguu kuwa vifupi (itaitwa brachymetapody kama itakuwa ni zaidi ya kimoja ). Ni hali ambayo hurithiwa kutoka kwa mzazi, kwa...
Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini
Je, hali ikoje kwenye mtaa wako?
Watu wanachukua...
AINA ZA PRESHA YA KUSHUKA
Kuzifahamu aina kuu nne za presha ya kushuka (hypotension) husaidia kujitambua au kutambua hali ya mgonjwa.
1. Postural or orthostatic hypotension (OH):
Ni aina ya...
Utakumbuka wakati ule ametangazwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 Tanzania, watu wengi walianza kuchukua tahadhari. Lakini kirusi alishaingia Tanzania. Watu baadhi wakaumwa. Kwakuwa tahadhari...
Presha ya kushuka ama kitaalamu huitwa hypotension, presha ya kushuka ni hatari kwa afya kama ilivyo presha ya kupanda, maana mwili unakosa nguvu kabisa. Kama ilivyo presha ya kushuka presha ya...
Nina maumivu makali sana ya Kidole cha mkono wa kushoto ambayo yalianza taratibu tu
Sijaumwa na mdudu na wala sijajikata au kuchomwa na kitu chochote.
Baadhi ya watu wanasema ni mdudu wa kidole...
Habari za jioni, nina mafua nmekunywa centrizen ila bado yapo sjui n za kutuliza ama la, hli wimbi la 3 n shida? Msaada tofauti na tangawizi + limao . ntumie nn mafua yaishe
Habarz za asubuhi wana JF.
Nipo kwenye mausiano na mpenzi wang ila karibu miez 5 hatukuwahi kuonana kutkan n sababu zilizokuwa nje ya uwez. Sasa siku tumekutana ilikuw ni siku ya 1 kabla ya...
Kuna huu ujumbe ambao umekuwa ukizunguka kwenye social media. Please mwenye kutoa clarification
"Habari za jioni wapendwa! Hongereni kwa kazi.Nawasihi madaktari wenzangu tujikinge na hili...
Kama ilivyo msisitizo katika kuvaa barakoa nashauri elimu itolewe uvaaji wa kondomu usisitizwe wakati wote kujiepusha na maambukizi japo unapunguza utelezi.
Baada ya kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani mwanzoni mwa mwaka jana, dunia ilianza kutafuta chanjo, na hadi kufikia mwishoni mwa mwaka, kampuni kubwa tano za Pfizer-BioNTech...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.