Fahamu kuhusu tatizo la tooth sensitivity

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Tooth sensitivity ni ugonjwa ambao hupelekea toothache.

Hali hii hutokea ambapo meno pamoja na fizi hupata uelewe wa kuhisi chochote. Kwa mfano meno yanapo guswa na maji baridi, meno yanapo pigwa na upepo au inapo tokea mtu anasugua kitu kinacho toa sauti.

Kama vile: chupa inapo suguliwa kwenye CEMENT, mawe yanapo suguliwa, n.k. Tatizo hilo likitokea ni moja ya dalili ambazo husababisha ugonjwa wa meno.

06-10-06smile.jpg
 
Back
Top Bottom