Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kifafa ni nini? Kifafa ni ugonjwa wa ubongo. Ubongo wa binadamu una mabilioni ya seli za neva. Zinashirikiana na kila moja kupitia chaji ndogo ndogo za umeme ambazo huwaka na kuzima.Wakati...
3 Reactions
402 Replies
223K Views
Habari wakuu mbali mbali? Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nimekuwa natumia sigara kama matibabu ya mafua endapo nikiugua na huwa napona siku hiyo hiyo ,lakini ifahamike mimi sio...
0 Reactions
5 Replies
748 Views
Tatizo sababu ipo, sasa tukiacha na operation methods ni njia ipi nyingine inawezekana kuondoa hili tatizo?
1 Reactions
37 Replies
10K Views
Wakati wa ujauzito wanawake wengi hukosa hamu ya tendo la ndoa hivyo mwanaume unahitaji kuwa na mawasiliano mazuri ili mambo yaende vizuri. JE MWANAMKE MWENYE MIMBA ANAWEZA KUENDELEA KUFANYA...
2 Reactions
20 Replies
106K Views
Pharmacy; always trusted for your health. Yes! 25th September of each year is a World Pharmacy day celebration. This happens all over the world. And guess what this year’s theme is Pharmacy...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
mambo vepe huenda hiii mada isha zungumza au bado ingawa nimejaribu kufatilia humu sijafanikiwa kama nilivyo anza pale kwenye title ni madhara gani mwanamke mjamzito anaya pata endapo kama ata...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari ya majukumu wanajamvi, Naombeni kuuliza kwa wanaolifahamu hili kama kichwa cha uzi huu kinavyo sema, ni kweli kwamba minyoo ya amoeba inapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nina tatizo la usikivu kidogo yaani sauti inachelewa kufika .. Japo darasani niliko resit mtihani watu huwa wananidharau na kuniona mjinga lakini kiukweli nafaulu kuliko wengi wao.. Inafikia...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari naombeni kuuliza, Nikila chakula nisipo kunywa maji ndani ya nusu saa. Naona misuli ya tumbo inajaa kuanzia tumboni mapajani Mpaka makende tunatetemeka na kujaa. Shida ni nini?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesikikia ukinywa panado na konyagi unachelewa kufika kileleni. Je unanaza kunywa nini na inafuta nini baada ya muda gani? Je madhara gani kiafa yapo. Asante
0 Reactions
87 Replies
32K Views
Hi, Great Thinkers, Ndugu zanguni kuna binti mmoja ambaye ni rafiki yangu wa kawaida na nimefahamiana nae hivi karibuni, amenieleza kisa cha mtoto wake nikaingiwa na huruma sana nikakaona hebu...
1 Reactions
30 Replies
21K Views
Habari za leo wakuu, Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji. Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
0 Reactions
6 Replies
939 Views
FANYA MAZOEZI YA MWILI Mazoezi husaidia mwili kufanya kazi vizuri kupunguza uzito hivyo kuepusha hatari ya magonjwa mbalimbali kama vile magonjwa ya moyo kisukari na shinikizo la juu la...
1 Reactions
3 Replies
857 Views
Habari zenu Wakuu! Mwezi Januari nilisex na shemeji yenu/wifi yenu na kwa kuwa hatukuwa tayari kuwa na mtoto mwingine ikanibidi nimnunulie p2, nikampatia kisha nikaenda kazini (mkoani). Sasa leo...
0 Reactions
52 Replies
20K Views
Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla. Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina tatizo la usikivu kidogo yaani sauti inachelewa kufika, Japo darasani niliko resit mtihani watu huwa wananidharau na kuniona mjinga lakini kiukweli nafaulu kuliko wengi wao. Inafikia hatua...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Nina maumivu sehem za tumbo upande wa kushoto wa tumbo na kupanda Hadi sehem karibu na moyo. Please mwenye kujua tatizo anisaidie Hata ushaut nini cha kufanya
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba jaman kwa anaejua pombe ambayo ukinywa haidhuriani na mtu mwenye vidonda vya tumbo anisaidie mana mm ndo starehe yangu lakin nina vidonda kila pome nikinywa tumbo linajaa gesi before nlikua...
4 Reactions
73 Replies
15K Views
Leo tunaangalia faida za tunda aina ya tango, kwanza kabisa tango ni tunda ambalo watu wengi hawalipendelei kwa sababu ya radha yake lakini ni tunda ambalo lina faida kubwa na virutubisho vingi...
5 Reactions
2 Replies
4K Views
Inasemekana ikiwa mwanamke atajifungua na akableed mwezi mzima au zaidi ni dalili kwamba mtoto aliyezaliwa hatakuwa na maisha marefu,hatafikisha mwaka lazima apotee (kufa). Kuna mtu wangu wa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom