Msaada: Kutokwa na madonge ya damu baada ya kunywa p2

Msaada: Kutokwa na madonge ya damu baada ya kunywa p2

Iglesias

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
424
Reaction score
498
Habari zenu Wakuu!
Mwezi Januari nilisex na shemeji yenu/wifi yenu na kwa kuwa hatukuwa tayari kuwa na mtoto mwingine ikanibidi nimnunulie p2, nikampatia kisha nikaenda kazini (mkoani).

Sasa leo ameniambiwa kuwa ile p2 hakumeza ila alimeza j4 ya wiki iliyopita, na alivyomeza kuna damu ilitoka kuanzia sa 4 mpaka sa 8 ikastop, damu hiyo sio ya period, ilikuwa nzito na kukatokea madonge madonge kama matatu hivi.

Sasa wakuu swali langu ni hili, je yale madonge yanasababishwa na nini? na imekuaje mpaka ameze p2 ndo madonge hayo yatoke kwa sasa anajisikia mapigo ya moyo kwenda kasi, kutapika n.k ila najua hizi ni effects tu za dawa hii ya p2.

Msaada wenu Wakuu!
 
Mkuu unashindwa kumwagia nje? Je unajua madhara ya hizo dawa?
Mimi binfsi nimemkataza kutumia hizo P2 (asije kuwa mgumba badae), kwa sasa namwagia nje japo inakata stimu kinyama.
 
Uhai (featus) unaanza kama damu ndipo moyo huu Dawa na kichwa ki kifuatiwa na spinal cord. Mmeshamuua rais wetu wa 2050
Mbona waatalaaaam walisema lile jicho chongo lenye marinda ndo linaanza b4 anything?
 
Polee kile msichokuwa mnakihitaji hakipo tena

Siku nyingine umwage nje hizo dawa sio nzuri hata kidogo
 
Mkuu unashindwa kumwagia nje? Je unajua madhara ya hizo dawa?
Mimi binfsi nimemkataza kutumia hizo P2 (asije kuwa mgumba badae), kwa sasa namwagia nje japo inakata stimu kinyama.
Zoezi la kutema nje inahitaji umakini sana, mm ni mtu makini lakini kipengele hiki huwa kinanshinda Mkuu.
 
Uhai (featus) unaanza kama damu ndipo moyo huu Dawa na kichwa ki kifuatiwa na spinal cord. Mmeshamuua rais wetu wa 2050
Ila Mkuu, nseme alimeza hiyo dawa wiki ilopita but sex ilifanyika last month.
 
Nenda kwa daktari kupata uhakika
Nilienda famasi nikawaeleza wakauliza alibadili pedi ngapu? Kumbe aliblid kuanzia saa 4 mpaka 12 na alibadili ped 3, wakasema mimba imeharibika. Watupa dawa ya maumivu ya tumbo buskopan na nyingine ya maumivu.
 
Wakuu, amesema kabla hajameza ile p2 damu nzito kuanza kutoka alikuwa anaona chuchu zake zimekuwa nyeusi na sasa hivi zimeongezeka weusi. Pia anasikia uchovu, tumbo la chini ya kitovu kuuma na chini. Hajisikii kichefuchefu wala kutapika.

Cc Sky Eclat, mimimeme, ledada n.k
 
Back
Top Bottom