humu ndani nakumbuka kunawatu walisema mtu kuchelewa kufika kileleni anakuwa ametumia hayo makitu ila sikumbuki combination na intervalTASTE KISHA TUPE MATOKEO
MIE NILIKUWA MNYWAJI WA HIVYO VITU WALA HAKUNA UKWELI WOWOTE HAO WANAODAI HIVYO WANAMATATIZO YA NGUVU ZA KIUME NDO MAANA HAWAJIAMINI KABISAAhumu ndani nakumbuka kunawatu walisema mtu kuchelewa kufika kileleni anakuwa ametumia hayo makitu ila sikumbuki combination na interval
kuna jamaa nae alikunywa aspirn na konyagi saa tatu usiku kuja kustuka saa mbili asubuh na zoez lake halikufanikiwa ikawa majuto tu!, mapaka leo hataki kusikia ujinga kama huo!Nimesikikia ukinywa panado na konyagi unachelewa kufika kileleni. Je unanaza kunywa nini na inafuta nini baada ya muda gani? Je madhara gani kiafa yapo. Asante
Nilimsoma yule jamaa, hajielewi kabisa....yaani...watu wakifika kwenye haya makitu, ni lazima kuna muda akili ni kama imesimama! Haifanyi kazi kabsaa...kuna jamaa nae alikunywa aspirn na konyagi saa tatu usiku kuja kustuka saa mbili asubuh na zoez lake halikufanikiwa ikawa majuto tu!, mapaka leo hataki kusikia ujinga kama huo!
daah...ndo vijana wa sasa..halafu analeta jamii forumNimesikikia ukinywa panado na konyagi unachelewa kufika kileleni. Je unanaza kunywa nini na inafuta nini baada ya muda gani? Je madhara gani kiafa yapo. Asante
Vifo vipo vya aina nyingi...Nimesikikia ukinywa panado na konyagi unachelewa kufika kileleni. Je unanaza kunywa nini na inafuta nini baada ya muda gani? Je madhara gani kiafa yapo. Asante