Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla.
Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame google na kusikiliza clip za wasiojua wenzake sasa anadhani anajua kuliko wenye taaluma yao ya chanjo.
Hao wasiojua pia wanatumia nguvu nyingi ili wasielewe hata wakieleweshwa.
Chanjo yoyote hata ya COVID-19 kwa lugha ya kijamii/kiswahili:-
1. Inaweza kukukinga usipate ugonjwa kwa asilimia kadhaa (hapa inategemeana na ubora wa chanjo/efficacy)
2. Inazuia usipate madhara makubwa hata ukiugua kwa asilimia 100%
3. Inapunguza maambukizi katika jamii:-
4. Inapunguza VIFO kwa kupunguza maambukizi na madhara ya ugonjwa.

- Kwa kupunguza muda wa kuugua na kueneza ugonjwa.
- Kwa kutengeneza kinga ya jamii (herd immunity).