Nina tatizo la kutoisha mkojo, nikimaliza kukojoa nikikaa baada dk 20 naskia mkojo tena. Nikimaliza kukojoa mwisho matonematone hutoka

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Habari ndugu zangu, mimi ni kijana wa miaka 33 kwa kipindi kirefu nimekua nashida nikinywa maji hata robo kikombe baada ya dk 20 nitahisi mkojo, nikienda kukokoja ntakojoa ile naumalizia mkojo mwishoni unatoka kwa kukatakata na matone matone mwisho wa kukojoa.

Pia hata nikiwa sijanywa maji baada dakika 50 nitahisi mkojo, naenda kukojoa kama mwanzo. Kitu kingine ninywapo maji mengi kama Lita moja na nusu hivi basi baada takriban dk50 nitapatwa namkojo ntaenda kukojoa na nikimaliza baada ya hapo basi kila baada ya dk15 nitaenda chooni hata mara10 mpaka maji yoote niliyokunywa yaishe mkojo uishe ktk kibofu.

Pia nitaendelea na hali ya mwanzoni ya kuendelea kupata mkojo kila baada ya dk 30. Nimepima Sana kisukari kabla ya kula na baada ya kula sukari yangu iko normal nikiwa sijala huchezea 5.1 nikiwa nimekula huchezea 6.3 pia nimefanya ultrasound sana napokua na matatizo mengne vipimo pia huwa vinaonyesha kwenye figo kuko poa tu.

Wakuu msaada wenu tafadhali pia Kama nitaweza elekezwa wapi hospital ina dakari bingwa mzuri wa urology
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Pia kibofu nilishawahi cheki mara kadhaa nikiwa nimeenda pia kwa matatizo mengine kikakutwa poa tu
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Wewe ulitaka uwe unakojoa katika mpangilio upi?Kwa sababu mimi sioni tatizo hapo
Mkuu naona binadamu wenzangu huwa akinywa maji hata nusu Lita au juisi atakaa hata masaa 4 baadae ndio akahisi mkojo kwenda kukojoa Ila kwangu ni tofauti hata nikiwa sijanywa chochote ni ndani ya dk 30 au chini ya hapo ntahisi mkojo upo na nikienda kukojoa sio kwamba nitakojoa ile tiriiiii Hadi mwisho, inakua ni kwa kustop unatoka kidogo unakata, unapush tena kuumalizia, ukimaliza mwisho kwenye njia ntahisi kama bado upo ntapush utatoka kimkato mkata matone.
 

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
2,126
2,000
Urethral stricture?! Je unapata maumivu wakati wa kwenda haja ndogo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom