Villky_J
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 492
- 609
Habari...mm kuna tatizo limeanza sasa sielew ni hali ya hewa au nn...kwa sasa nimekuwa nikienda haja ndogo mara nyingi zaid hasa nyakati za usiku...imefika wakati ikanibid nifanye jaribio kijua nakojoa kiasi gan...nafikia mpaka lita 3 ni kitu ambacho kinenishangaza sana kwan hiki ni kipindi cha masika lakin bado napata kiu mara kwa mara..nisaidien jaman..nn tatizo?