Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ugonjwa wa kuhara (uliojulikana kama umwagaji wa damu au umwagaji hatari wa damu ) ni maradhi yanayotokana na machafuko ya maini, hasa matumbo ambayo inasababisha kuhara ambapo kuna kamasi na / au...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
kwa wajuzi wa mambo haya, naomba kufahamu gharama za upasuaji wa goti kwa hapa Tanzania nilipata ajali kwenye mazoezi mpirani mwaka Jana ila tangia wakati huo goti langu halijarudi kama zamani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutoweza kupata mtoto ni chanzo cha unyanyasaji wa kijamii na nyumbani kwa wanandoa nchini Bangladesh, bila kujali sababu ya kasoro za kuzaliwa au ugonjwa wowote, bila kujali masuala ya jinsia au...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Moja ya magonjwa hatari sana ambayo yanaweza kumpata mtu yoyote ni ugonjwa wa shambulizi la moyo. Huu ni miongoni mwa magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanaume na wanawake. Kwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Aina 15 ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume,na kuweka mwili sawa. 1.Tende. Katika kila gram (100) ndani ya tende kuna virutubisho kwa asilimia kama ifuatavyo. Chuma (iron). 5.50ppm. wanga...
9 Reactions
8 Replies
60K Views
Kwa mfano Kama Nilikuwa mlevi sana wa pombe kali na mvuta sigara kwa zaidi ya miaka 20 Sasa nikataka kujua hali yangu ya organ za ndani zipoje; yaani nijue kama kuna dalili za kansa ya mapafu,ini...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau! Hebu tujuzane sababu zinazopelekea changamoto kwa mwanamke kubeba mimba. Mara unasikia hormonal imbalance, mara cyst..... Kwanini yote haya??
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watu wengi mmekuwa mkiibiwa sana kwa kuongopewa kuwa tatizo la nguvu za kiume linamalizwa na madawa kwa wiki moja or siku tatu, watu wamekuwa wakitapeliwa sana pesa zao leo acha niwafungue akili...
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Kumekuwepo kilio na maswali mengi ya wadau mbalimbali wakitaka kujua masuala kadhaa kuhusu ugonjwa wa kisukari; tumetengeneza mnakasha huu ili kurahisisha majibu (si yote) kwa wenye uhitaji wa...
2 Reactions
1K Replies
427K Views
Salamu wakuu. Ni matuamini yangu mumeingia salama katika huu mwaka mpya wa 2022. Kwa wale ambao hamjaingia mkiwa salama kama mimi, yote ni kheri, kikubwa tunapumua. Kichwa cha uzi kinajieleza...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari Wana JF nilikuwa naomba kujuzwa ni mda gan mtu anaweza ona dalili za ukimwi soon after exposure...na dalili hizo ni zpi Nb: Dalili za awali kabisa
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Kulinda afya ya macho ni muhimu kwa ustawi wa jumla. Hapa kuna baadhi ya mambo unayoweza kufanya: Linda Macho Yako na Jua: Tumia miwani ya jua inayolinda dhidi ya miale hatari ya jua (UV rays)...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
JF DOCTORS: wakuu nini tiba ya ugonjwa huu! Uume unatoa usaha wenyewe tu unatiririka! Uume kuuma na kuwasha kwa ndani: ni ugonjwa gani na nini tiba yake
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakubwa naombeni kujua Muongozo wa kupima DNA ya mtoto. Mtoto huyu kwa tabia ya kuudhi ya mama mtu tumekuwa tukimuhudumia wa baba wawili. Baada ya kujulikana ukweli naona anakimbilia kuliko...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mtoto wa miaka 7 anajinyofoa nywele, je inatokana na nini?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Fenesi ni tunda maarufu Sana huku tanga hususani muheza watu upenda kunywa uji na fenesi vinaendana Sana Yani Kama chai na chapati tu.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kujua dalili za mtu alipungukiwa sukari mwilini kabisa. Asanteni
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, naomba leo tubadilishane mawazo ya kujenga juu ya hii kitu huenda tukapata source of research. Nina swali juu ya KUHARIBIKA kwa MIMBA saaana swali langu limejikita katika Aina moja tuu ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau nimekuwa napata shida sana kwenye kidole cha mwisho mguu wa kushoto kidole uwa kinatengeneza usugu nikivaa viatu muda mwingi nini suluhisho ya hii kitu
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jambo ndugu zangu naomba kuuliza Hivi sababu ya kupoteza uzito ghafla ni tatizo au? Maana siku hizi nilikuwa na sumbuliwa na homa kali, tatizo la mmengenyo wa chakula na mgongo kuuma saana Sasa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom