Tunda fenesi linaongeza nini mwilini?

Tunda fenesi linaongeza nini mwilini?

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
271
Reaction score
439
Fenesi ni tunda maarufu Sana huku tanga hususani muheza watu upenda kunywa uji na fenesi vinaendana Sana Yani Kama chai na chapati tu.
 
Fenesi ni tunda maarufu Sana huku tanga hususani muheza watu upenda kunywa uji na fenesi vinaendana Sana Yani Kama chai na chapati tu.
FAIDA YA TUNDA LA FENESI KWAKULA NA PIA NI TIBA YA MARADHI MWILINI
MFENESI NA TIBA YAKE


Tunda hili ni tunda lililodharaulika sana na watu wanakimbilia kwenye matunda ya gharama na kusahau tunda lenye thamani kubwa kiafya huku likiwa na thamani ndogo sana kipesa.

Mbali na utamu wa tunda hili. Hata walaji hula kwa sababu ya utamu huku wakitupa tiba sahihi ambayo ni maganda na mbegu ndio yana faida kubwa sana.

Faida za Fenesi;
Ngozi ya FENESI yaani ile ganda lenye vipelevipele. Ukichemsha na kunywa utapata faida zifuatazo kiafya;
Hushusha sukari mwilini kwa haraka sana.

Hutibu pumu

Huimarisha mifupa

Huongeza kinga ya mwili na kukufanya usisumbuliwe na magonjwa

Ni kinga ya cancer yaani hutaumwa na cancer

Huimarisha mmeng’enyo wa chakula kwa waathirika wa HIV.

Na ile ngozi tamu ya njano ambayo watu hula, Huzuia upungufu wa damu kwa mlaji wa FENESI, Huleta vitamin A na B6, na Huleta nguvu.

Mfenesi.

Mbegu Zake:
Kausha mbegu zake juani na utwange upate unga kisha uhifadhi kwa matumizi yenye faida zaidi.
Ukichanganya na maziwa ukapaka sehemu ngozi imeharibika asubuhi na jioni kwa wiki mbili sehemu hiyo itakuwa safi. Hufanya uso kuwa laini.
Changanya unga wa mbegu za fenesi katika maziwa na asali. Kisha paka usoni asubuhi na jioni basi uso utakuwa laini sana.
Huongeza nguvu za kiume. Changanya unga wa mbegu katika maziwa fresh asubuhi na jioni tendo la ndoa halitakusumbua.
Chemsha mbegu zake kisha unywe supu yake na utafune mbegu hizo. Huondoa presha kwa mwenye presha ya kupanda, pia ukitafuna mbegu huleta protini.

FENESI NA MAAJABU YAKE KITIBA.jpg
 
Back
Top Bottom