kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Jambo ndugu zangu naomba kuuliza
Hivi sababu ya kupoteza uzito ghafla ni tatizo au?
Maana siku hizi nilikuwa na sumbuliwa na homa kali, tatizo la mmengenyo wa chakula na mgongo kuuma saana
Sasa nilikuwa situmii cha kula saana. Nimeona uzito wangu umeshuka saana nilikuwa napima 63kg sasa hivi naPima 55 kg
Sasa sababu hizo zinaweza kuwa chanzo?
Na nimeumwa kipindi cha siku 7 tu na nikapona
Sasa nashindwa kuelewa hali hii.