Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Nawasalimu wote wana JF. Mwanzo kabisa nilishaletaga tatizo langu humu JF kwa msaada zaidi "Social Anxiety Disorder" sasa ndugu zangu naona hili tatizo linaenda mbali sana, kwasababu wakati...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu, Shaloom shaloom, Bwana yesu asifiwe, Aslaam aleykum Walamaturah wabarakatuh, Ndugu zangu Nina mtoto wa Miaka 4 amekuwa akikohoa sana kwangu Mimi nilijua pengine ni kikohozi cha...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu. Toka jumamosi jioni nahisi maumivu ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyooneka,kuna ndugu yangu ana tatizo la pneumonia limemsumbua muda mrefu na hajapata relief au kupona japo ametumia dawa kadhaa km amoxilin,amoxiclave(spelling huenda si...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Habari wanajukwaa hili la Afya. Nina dada ambaye anasumbuliwa sana na hali ya kubanwa na pumzi na kushindwa kuongea. Mara ya kwanza alinitumia sms kuwa halu yake ni mbaya anashindwa kupumua na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Binafsi naamini ulaji wa kachumbari iliyoandaliwa na mtu nisiyemfahamu ni kukaribisha magonjwa ya kuambukiza. Ikiwa muandaaji si msafi au kwa ajali amejikata wakati wa kuandaa na ukizingatia...
4 Reactions
4 Replies
822 Views
Habari Wana JF. Tunajua shahawa zina contain elements nyingi zikiwemo protini na sugari. Sugar na protein kila Moja inafaida katika mwili wa binadamu, kwa upande wa sugar YENYEWE hutupa nguvu...
3 Reactions
39 Replies
9K Views
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa TZ. Nilikutana na mwanamke kimwili kuanzia tarehe 20 mpaka 23 yaani alikuja getho tukawa pamoja kwa siku hizo. Ila anadai aliingia period...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarini za Asubuhi wanajamvi? Matumaini yangu mtakuwa mpo salama. Ndugu yangu alipata misukosuko hii ni baada ya yeye kukamata na police katika harakati za maisha. Walimpiga sana kwenye miguu...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Hello jf doctors, Kuna jamaa kapata accidents hapa,Sasa katika maelezo ya daktari tunaambiwa mfupa was sikio la jamaa umesagika sasa, shida yangu ni kuelewa je, sikio lina mfupa?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Uso wangu upo rafu sana..nina mba sana na nimeshatumia antifungal creams za kila aina ila bado mambo bado,hata za kumeza pia kama fluconazole,itraconazole lakini mba unaisha na uso unakaa vizuri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Mke wangu amekuwa anasumbuliwa sana na kuwashwa sehem zake za siri, na kuna kipindi ilifikia akawa anatoa uchafu mweupe una harufu mbaya. Baada ya kufatilia ikaonekana ni...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Naomba msaada nahitaji dawa ya MESTEROLONE 25mg au proviron , mwenye kujua duka ninaloweza kupata au pharmacy ninayoweza kupat au km yy anaweza kufanya niipata tuwasiliane au anuelekez maan...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanawake wameshauriwa kuacha mara moja kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ambazo hazijapimwa na wataalamu katika sehemu zao za siri, kwa kuwa wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wananchi wanashauriwa kufanya vipimo vya magonjwa ya figo angalau mara moja kwa mwaka, ili kupunguza hatari ya utambuzi wa magonjwa hayo katika hatua za hatari. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam Wana jukwaa, Sikio langu la kushoto zaidi ya wiki Sasa linakua Kama linapiga kengele,utadhani nimewekewa wale wadudu wanaitwa nyenze(wale ambao zamani utotoni tulikua tunawakamata na...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mtoto amekuwa akipata tatizo la kutoka damu puani mara kwa mara. Kumekuwa na maoni tofauti wengine wakisema ni hali tu ya kawaida. Ninachotaka kufahamu kutoka kwa Daktari au Wataalamu ni hatua...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wiki moja na nusu nyuma niliumwa na nnge nikamuona kabisa nikamuua nikaendelea na mishe zangu Mimi ni fundi ujenzi ndo kazi yangu si unajua tena ukiwa kitu kinakupata mara kwa Mara huwa huna wasi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Upandikizaji wa uroto ni tiba ngeni katika nchi zetu za ukanda au bara la Afrika na kwasasa unapatikana nchini kwetu. Uroto ni nini? Uroto ni tishu zinazo patikana katika mifupa mirefu kwenye...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu Tena... Naomba kwa watalamu kwa majibu hayo ya kwenye kipimo yanamaanisha nini?
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…