Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu wa jamvi, Naomba kwa wenye uelewa wa kutosha juu ya aina nzuri ya mashine za kupima sukari anijuze. Nimeshanunua mara kadhaa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na One Touch (Select Simple) na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu.. Bila kupoteza muda naomba twende kwenye mada, jina langu naitwa Juma Sangoma umri wangu miaka 30. Kuna tatizo moja linanisumbua sana, Kila nikishiriki mapenzi na mwenza...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuuu nina dogo langu miaka miwili wa kiume kadudu kanatoa usaha itakuwa nini tatizo Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari WAkuu bila shaka muko salama Moja kwa Moja kwenye mada kuna Ndugu yangu wa Karibu sana jana jioni wakati wa Mazungumzo alinishirika jambo lake akasema hivi "siku za Karibuni nimekuwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hedhi/ bleed ni jambo ambalo si geni kwa jinsia ke. Ninaomba msaada kwa anaejua hili. Mpenzi wangu ameingia hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja tena kwa kipindi kifupi sana jambo ambalo si la...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndiyo, kauli nzuri ya muuguzi huanza kutoa nafuu kwa mgonjwa. Nafuu ya kisaikolojia, humafanya mgonjwa ajihisi yupo sehemu sahihi na salama kuweza kutatuliwa shida yake ya kiafya. Kumkaribisha...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Habari za muda huu wakuu! Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwa wadau humu juu ya suala la mtoto ambaye yupo kwenye familia yetu, ni binti wa mwaka mmoja na miezi nane ana tatizo la kutokwa na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nina MTOTO umri awake ni miaka 2 na miez 6. Ameacha kunyonya miez 9 iliyopita. Tangu aache kunyonya amekuwa akisumbua kula chakula. .nimempima minyoo na Kufanya Ultra Sound. ...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Rafiki yangu amelazwa kwenye hospital kubwa kuliko hapa nchini. kabla ya kulazwa alianzia hospital ya mkoani wenyewe wanaziita za rufaa baadae akapewa rufaa kuja hospital moja yenye jina kubwa...
1 Reactions
2 Replies
479 Views
Wakuu salamu. Naomba kufahamishwa utofauti wa hivi virutubisho Kati ya xpower coffee na xpower capsule kipi ni kizuri zaidi ya mwenzake na kipi mtu unaweza kukitumia pekee yake. Naomba kujulishwa.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanabodi kwa asiyejua PEP ni dawa za kuzua maambukizi ya ukimwi ikiwa umefanya ngono na mtu aliyeathirika na ukimwi ama kama kwenye hatari ambayo itakufanya huwe exposed na vvu. Basi bana week...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Naomba kujua,maziwa ya mbuzi Yana sifa sawa na maziwa ya ngo'mbe? Nasikia mbuzi wanakuwaga na magonjwa mengi zaidi ya ngo'mbe,Lina ukweli wowote? Naomba kwa wenye uelewa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habarini wana Jf Baada ya pitapita humu jamvini nilikutana na mtualicomment kuhusu kutumia olive oil katika kutibu tatizo la uume kusimama, sikumbuki maelekezo yake ila ndio nimenunua hiyo hayo...
4 Reactions
42 Replies
82K Views
Habarini ndugu zangu, naomba ufafanuzi kidogo pale figo zinapofeli kushindwa kufanya kazi,....na baadaye mgonjwa kuanzishiwa tiba ya kuwa anachujwa damu ili kuondoa uchafu mara tatu kwa wiki...
8 Reactions
48 Replies
11K Views
Hi friends I have a question here need your help What is the treatment of non alcoholic fatty liver disease
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Habari zenu humu ndani. Mimi nina tatizo kitaalam linaitwa varicoceles. ( left varicoceles) limegundulika baada ya vipimo vya ultrasound. Nimeelezwa kuwa tatizo hili ndilo linanipelekea mimi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
habari madokta kwanza niseme sikuwahi kabisa kupata tatizo la kuwashwa macho kabla ila nina kama wiki macho yanawasha yalikuwa mawili nikatumia dawa kadha moja limeacha limebaki moja linawasha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya muda huu wakuu.... Kuna huu upele ninao mikononi na sehemu kadhaa za mwili, ni mkavu hauwashi wala hautumbuki yaani umekuwa ni kama sehemu tuu ya ngozi yangu nikiamini kuna siku...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Niende kwenye lengo moja kwa moja nimebahatika kufunga ndoa kama miaka mitatu iliyopita lakini ndoa yangu mpaka sasa aikubahatika kupata mtoto wala mkewangu hakuwai kushika...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…