Msaada: Matumizi ya olive oil na nguvu za kiume

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
habarini wana Jf
Baada ya pitapita humu jamvini nilikutana na mtualicomment kuhusu kutumia olive oil katika kutibu tatizo la uume kusimama, sikumbuki maelekezo yake ila ndio nimenunua hiyo hayo mafuta na sasa naomba msaada wa namna ya kuitumia, na pia nimejaribu kugoogle nikaona pia ina faida nyingi,kwani inatumika pia kwenye chakula lakini sijui yanatumikaje, unapikia kwenye chakula? au unafanyaje? msaada tafadhali
 
Mkuu Jeff Ni mimi nliyesema kuwa ukiwa unafanya masaji ya uume wako kwa kutumia mafuta ya Zaituni huenda baada ya muda ukaongezeka urefu wake kwa cmt chache

mkuu. Zipo Dawa za Mwenye Upungufu wa nguvu za kiume bonyeza hapa. https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka-8.html

Ukitaka kujuwa Faida za Mafuta ya Zaituni yaani kwa Lugha ya kiingerezaOlive oil angalia hapa chini

Mafuta ya zaituni yana manufaa mengi katika mwili na maisha ya binadamu kwa ujumla kama ifuatavyo;

(1)Mafuta ya zaituni hutibu maumivu ya tumbo kwa kunywa kijiko 1 mara 2 kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 11 inshaallah.

(2)Mafuta ya zaituni hutibu masheitani kwa kusomea kisomo cha Ruqia, mgonjwa atajipaka mwili mzima mara moja kwa siku pamoja na kutafuna vitunguu saumu punje tatu wakati wa kulala kwa muda wa siku arobaini inshaallah.

(3)Mafuta ya zaituni ni kinga ya masheitani wa kijini na wa kibinadamu kwa kujipaka mwili mzima mara moja kwa siku.

(4)Mafuta ya zaituni hutibu ugonjwa wa mafua kwa kupaka kwenye mwamba wa pua na ndani ya matundu ya pua mara tatu kwa siku.

(5)Tiba ya vidonda vya tumbo; Matumizi ni kutia vijiko 2 vya chakula katika uji mara mbili kwa siku kwa muda wa siku 90.

(6) Mafuta ya zaituni hutumika kama huduma ya kwanza kwa aliyekunywa sumu kwa kunywa, na kwa mwenye ganzi au kiharusi hutumia kwa kuchua asubuhi na jioni.

(7) Mafuta ya zaituni hutumika katika kuua wadudu wabaya walioko tumboni kwanjia ya kunywa kijiko kimoja mara mbili kwa siku kwa muda wa siku saba.

(8) Mafuta ya zaituni huongeza nguvu za kiume kwa kunywa kijiko kimoja kwa siku pamoja na kuuchua uume mafuta yaliyochanganywa na vitunguu swaumu kwa muda wa siku saba hadi kumi na moja.

(9) Tiba ya ugonjwa wa kusahau: paka katika paji la uso kutwa marambili pamojana kunywa kijiko kimoja cha chai mara moja kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 11.

(10) Tiba ya degedege: hutumika kupakaa mwili mzima mafuta yaliosomewa ruqya, marambili kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 21.

(11)Kukojoa kitandani: kupakaa mafuta ya zaitun mwili mzima kutwa marambili huku akilamba matone mawili kwa muda wa siku 7 hadi siku 21.
 
Mkuu Mzizi, ahsante kwa darsa nzuri. Ila nina swali dogo tu. Hivi haya mafuta ya Zaituni ndiyo OLIVE OIL? Kama jibu ni ndio, mbona nakuta Olive Oil nyingi ni For external use only. Jee yapo ya kula? Kuuliza si ujinga Kaka.
 
Mkuu Globu Olive Oil ndiyo hayo Mafuta ya Zaituni hayo hapo chini ya kula yanauzwa hapo Tanzania katka Ma Super Market kaulize utapewa

manybottles01BTr01.gif

Corfu-olive-oil.jpg
 
Olive Oil Grades

SIMPLIFIED VERSION

OLIVE OIL

Olive oil
is the oil obtained solely from the fruit of the olive tree, excluding oils obtained using solvents, or re-esterification processes and any mixture with other kinds of oils.

The following are the permitted designations for labelling the different grades of ediblenatural olive oils, refined olive oils and olive-pomace oils as defined in Clause 6 of this Standard:

  1. Extra Virgin Olive Oil. Natural olive oil that has a free acidity, expressed as free oleic acid, of not more than 0.8 grams per 100 grams, a median of defects equal to 0, and the other characteristics of which correspond to those fixed for this grade in under Australian Standards.
  2. Virgin Olive Oil. Natural olive oil that has a free acidity, expressed as free oleic acid of not more than 2.0 grams per 100 grams, a medium defects equal or less than 2.5 and the other characteristics of which correspond to those fixed for this grade under Australian Standards.
  3. Lampante olive oil. Is natural oil that is not fit for human consumption without further processing. This oil has a free acidity, expressed as free oleic acid of more than 2.0 grams per 100 grams and /or median of defects higher than 2.5 and other characteristics of which correspond to those fixed for this grade in the Australian Standard. It is only intended to be used for refining and technical use.

REFINED OLIVE OIL

Refined olive oils
are the olive oils obtained from natural oils by refining methods which do not lead to alterations in the initial glyceridic structure. Refined olive oils are fit for human consumption without further processing include.

  1. Refined Olive Oil. This is the olive oil obtained from natural oils by refining methods including deodorisation which do not lead to alterations in the initial glyceridic structure. Refined olive oils have a free acidity, expressed as free oleic acid of not more than 0.3 grams per 100 grams and their other characteristics correspond to those fixed for this grade in the Standard.
  2. Olive Oil—Composed of Refined and Virgin [or Extra Virgin] Olive Oils. This oil consisting of a blend of refined olive oil and natural olive oils and are fit for human consumption. It has a free acidity, expressed as free oleic acid of not more than 1.0 grams per 100 grams, a median of defects equal or less that 2.5 and its other characteristics correspond to those fixed for this grade in the Australian Standards.

OLIVE POMACE OILS

Olive-pomace oils
are the oils obtained by treating olive pomace waste with solvents or other physical treatments, excluding oils obtained by re-esterification processes and any mixture with oils of other kinds with the exception of olive oils. Olive-pomace grades comprise:

  1. Crude olive-pomace oil: This is the olive – pomace oil whose characteristics correspond to those fixed for this grade in the Standard. It’s intended for refining for use for human consumption or for technical use.
  2. Refined Olive-pomace oil. This is the oil obtained from crude olive-pomace oil by refining methods which do not lead to alterations in the initial glyceridic structure. It has a free acidity, expressed as free oleic acid of not more than 0.3 grams per 100 grams and its other characteristics corresponding to those fixed for this grade under the Australian Standards.
  3. Olive-Pomace Oil – composed of refined olive pomace oils and Virgin (or Extra Virgin) olive oils. This is the oil consisting of a blend of refined olive-pomace oil and natural olive oils fit for human consumption. It has a free acidity, expressed as free oleic acid, of not more than 1.0 grams per 100 grams, a median of defects equal of less than 2.5, and its other characteristics correspond to those fixed for this grade in the Standard.
Share this:

Mkuu Jeff Ni mimi nliyesema kuwa ukiwa unafanya masaji ya uume wako kwa kutumia mafuta ya Zaituni huenda baada ya muda ukaongezeka urefu wake kwa cmt chache

mkuu. Zipo Dawa za Mwenye Upungufu wa nguvu za kiume bonyeza hapa. https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka-8.html

Ukitaka kujuwa Faida za Mafuta ya Zaituni yaani kwa Lugha ya kiingerezaOlive oil angalia hapa chini

Mafuta ya zaituni yana manufaa mengi katika mwili na maisha ya binadamu kwa ujumla kama ifuatavyo;

(1)Mafuta ya zaituni hutibu maumivu ya tumbo kwa kunywa kijiko 1 mara 2 kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 11 inshaallah.

(2)Mafuta ya zaituni hutibu masheitani kwa kusomea kisomo cha Ruqia, mgonjwa atajipaka mwili mzima mara moja kwa siku pamoja na kutafuna vitunguu saumu punje tatu wakati wa kulala kwa muda wa siku arobaini inshaallah.

(3)Mafuta ya zaituni ni kinga ya masheitani wa kijini na wa kibinadamu kwa kujipaka mwili mzima mara moja kwa siku.

(4)Mafuta ya zaituni hutibu ugonjwa wa mafua kwa kupaka kwenye mwamba wa pua na ndani ya matundu ya pua mara tatu kwa siku.

(5)Tiba ya vidonda vya tumbo; Matumizi ni kutia vijiko 2 vya chakula katika uji mara mbili kwa siku kwa muda wa siku 90.

(6) Mafuta ya zaituni hutumika kama huduma ya kwanza kwa aliyekunywa sumu kwa kunywa, na kwa mwenye ganzi au kiharusi hutumia kwa kuchua asubuhi na jioni.

(7) Mafuta ya zaituni hutumika katika kuua wadudu wabaya walioko tumboni kwanjia ya kunywa kijiko kimoja mara mbili kwa siku kwa muda wa siku saba.

(8) Mafuta ya zaituni huongeza nguvu za kiume kwa kunywa kijiko kimoja kwa siku pamoja na kuuchua uume mafuta yaliyochanganywa na vitunguu swaumu kwa muda wa siku saba hadi kumi na moja.

(9) Tiba ya ugonjwa wa kusahau: paka katika paji la uso kutwa marambili pamojana kunywa kijiko kimoja cha chai mara moja kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 11.

(10) Tiba ya degedege: hutumika kupakaa mwili mzima mafuta yaliosomewa ruqya, marambili kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 21.

(11)Kukojoa kitandani: kupakaa mafuta ya zaitun mwili mzima kutwa marambili huku akilamba matone mawili kwa muda wa siku 7 hadi siku 21.

Asante sana mzizi mkavu! kumbe ni tiba ya matatizo mengi, sasa hapo kwenye namba 2 mkuu,kisomo gani hiko? masheikh wanajua?
 
Mkuu Globu Olive Oil ndiyo hayo Mafuta ya Zaituni hayo hapo chini ya kula yanauzwa hapo Tanzania katka Ma Super Market kaulize utapewa

manybottles01BTr01.gif

Corfu-olive-oil.jpg

mzizi asante kwa kutuelimisha,samahani naomba unisaidie.ndugu yangu ana tatizo la kupoteza fahamu,unakuta analegea halafu baada ya muda anaanza kukoroma then anakosa kabisa hewa hadi unampepea anakuwa anajikaza misuli na kunyooka kama mtoto mwenye degedege.hilo ni tatizo gani???dawa yake ni nini???
 
Mkuu rais wa migomo Pole sana hujaeleza mdogo wako wa kike au wa kiume ?ana miaka mingapi? tatizo hilo lilimtokea tangu lini? umeshampeleka hospitalini? kama bado hujampeleka hospitalini jaribu kumpeleka hospitali kwanza kisha uje hapa utupe Feedback maendeleo yake ndugu yako .
 
Last edited by a moderator:
Hello. MziziMkavu ninaomnba unipe contact number yako. Via email: terabojo@gmail.com ili nikupigie una nikueleze tatizo langu kwa undani unipe msaada. Asante
 
Mkuu rais wa migomo Pole sana hujaeleza mdogo wako wa kike au wa kiume ?ana miaka mingapi? tatizo hilo lilimtokea tangu lini? umeshampeleka hospitalini? kama bado hujampeleka hospitalini jaribu kumpeleka hospitali kwanza kisha uje hapa utupe Feedback maendeleo yake ndugu yako .

ni wa kike ana miaka 34, tatizo limemtokea kama wiki moja sasa na hakuwahi kuwa na tatizo kama hili.hospitali wanasema presha hakuna dawa wamempa zaidi ya drip nyingi za maji lakini tatizo lipo bado.pia wamempa dawa za usingizi tu
 
MziziMkavu swali langu lipo hapo namba 8. Tips on how to kuchua uume kwa hayo mafuta featuring vitunguu swaumu. Kuchua kama unapiga nyto au kuchua kwa staili ipi?
 
(8) Mafuta ya zaituni huongeza nguvu za kiume kwa kunywa kijiko kimoja kwa siku pamoja na kuuchua uume mafuta yaliyochanganywa na vitunguu swaumu kwa muda wa siku saba hadi kumi na moja.
haya mafuta na sabuni nzuri nn kwenye yale mambo yetu hapo juu
 
Back
Top Bottom