KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,149
- 4,753
Habarini ndugu zangu, naomba ufafanuzi kidogo pale figo zinapofeli kushindwa kufanya kazi,....na baadaye mgonjwa kuanzishiwa tiba ya kuwa anachujwa damu ili kuondoa uchafu mara tatu kwa wiki.
Maana report imetoka mama yangu figo zimefeli zote mbili na ameanzishiwa matibabu ya kusafishwa damu (dialysis).
Je? Itamchukua muda gani figo kuweza kurudi kwenye hali yake kama mwanzo au ndio basi imebaki kumsogezea siku za kuishi?
Taarifa hii imenishtua sana.