Je, ni kweli 'bao' la kwanza pekee huweza kusababisha ujauzito?

Mpwidu

Senior Member
Apr 3, 2018
111
117
Habari hapa Wandugu!

Kuna kauli ipo ya kwamba ukiachana na lile goli la kwanza la mbegu za kiume haya mengine yanayofuata hayawezi sababisha kupata ujauzito kwa Mwanamke.

Je, ni Sahihi? Na kama ni sahihi Kwanini?
 
Sawa kiongozi, Lakini si tunaambiwa kuna ujazo Rasmi ambao unahitajika? Naiman kila bao litakua na ujazo tofauti haziwez fanana! Hapo ikoje kiongozi?.
Goli goli tu,,nyavu zikitingishika na mpira ukizama wavuni mimba inakaa
 
Sawa kiongozi,,, Lakini si tunaambiwa kuna ujazo Rasmi ambao unahitajika? Naiman kila bao litakua na ujazo tofauti haziwez fanana! Hapo ikoje kiongozi?.
Mkuu, kila bao au mshindo ukitoka unabeba mamillion ya mbegu ambazo mbegu moja ikifanikiwa kukutana na yao la kike mimba inatungwa. So liwe bao la 1,2,3 n.k linaweza kutungisha mimba. Kwasababu kila bao likitoka ule ujazo wake unakua na mbegu Millions
 
Mimi nadhani kwa mtu anaefanya Mara kwa mara bao lake la pil na tatu hayawez kutungisha mimba coz mbegu za bao la kwanza ndio zinakuwa zimekomaa vizur hata ukiangalia kwa macho tu unaona bao la kwanza ni zito Lina afya yani tofauti na la pili na tatu

NB;Angalizo ushaur wangu ni kwa wale ambao wanafanya mapenzi Mara kwa mara kwa ambaye anakaa mda mrefu sana bila kufanya mapenzi mabao yote atakayotoa siku akikutana na mwanamke yanaweza sababisha mimba
 
Kitaalamu ujazo unaotakiwa uwe walau 2cm³, kwa wale ambao wametumia Sana vifaa vya ujazo kama measuring cylinder najua umepigwa na butwaa lakini huo ndio uhalisia, 2cm³ kwa wale ambao hamuelewi, nikikadiria ni kama pingili ya kwanza ya kidole Cha mwisho,
Sawa kiongozi, Lakini si tunaambiwa kuna ujazo Rasmi ambao unahitajika? Naiman kila bao litakua na ujazo tofauti haziwez fanana! Hapo ikoje kiongozi?.
 
Back
Top Bottom