Nina wasiwasi na woga sana, nahitaji ushauri

Feast

Member
Joined
Apr 15, 2022
Posts
14
Reaction score
15
Wakuu Habari….

Nimekua na tatizo linalonisumbua kwa mda mrefu, nakua na hali ya kuwa na wasiwasi na kuogopa, inawezekana hata mtu akifungua mlango wa chumbani basi najikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio na pia nakua na hali yakujawa na pumzi, hii pia inaniathiri hata nikiwa naongea mbele za watu hasa pale watu nisiofahamiana nao nakua na hali ya kuogopa, pumzi na hata nikashindwa kuwasilisha kile nachohitaji kuwasilisha.

Unakuta pia kuna wakati mtu anaweza niuliza kitu cha kawaida hapo hapo nikaanza kupanic hata na uongeaji utabadilika kama hali ya kutetemeka.

Kwakweli hii hali inanisumbua sana na inaniumiza, kama kuna mtu alipitia hii hali alifanya kitu gani mpaka akaweze kuiondoa.
 
Jikite kwenye mada,
I bet hayo yote yanatokea ukiwa unatongoza face to face.
 
Wakuu Habari….

Nimekua na tatizo linalonisumbua kwa mda mrefu, nakua na hali ya kuwa na wasiwasi na kuogopa, inawezekana hata mtu akifungua mlango wa chumbani basi najikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio na pia nakua na hali yakujawa na pumzi, hii pia inaniathiri hata nikiwa naongea mbele za watu hasa pale watu nisiofahamiana nao nakua na hali ya kuogopa, pumzi na hata nikashindwa kuwasilisha kile nachohitaji kuwasilisha.

Unakuta pia kuna wakati mtu anaweza niuliza kitu cha kawaida hapo hapo nikaanza kupanic hata na uongeaji utabadilika kama hali ya kutetemeka.

Kwakweli hii hali inanisumbua sana na inaniumiza, kama kuna mtu alipitia hii hali alifanya kitu gani mpaka akaweze kuiondoa.

Ukipata dawa nambie mkuu hii hali sio poa mara nyingi unakosa kujiamini maana ukijisikia unavoongea unaona kama hujaongea cha maana
 
Ndupu Kwanza nakupapole kwa hayo unayopitia, ila angalia kama una madeni ya watu jitahidi urudishe, pia mrudie muumba wako kunajambo ulifanya ila sio lazima wote tujue uliyo yafanya mungu wetu ana samehe. Amini utakuwa sawa ndugu yng 🙏🙏
 
Ukipata dawa nambie mkuu hii hali sio poa mara nyingi unakosa kujiamini maana ukijisikia unavoongea unaona kama hujaongea cha maana

Yes mkuu hii ni moja ya hali pia huwa inayotokea, yaani ukisema ujisikilize unavyoongea sauti inakuwa haipo strong inayumba yumba, maneno ya mbele unaweka nyuma na ya nyuma unaweka mbele
 
Ndupu Kwanza nakupapole kwa hayo unayopitia, ila angalia kama una madeni ya watu jitahidi urudishe, pia mrudie muumba wako kunajambo ulifanya ila sio lazima wote tujue uliyo yafanya mungu wetu ana samehe. Amini utakuwa sawa ndugu yng [emoji120][emoji120]

Hapana mkuu mimi sina madeni ambayo yanayonifanya nikakosa amani nina madeni ambayo yanalipika, ambavyo wwe unahisi mtu anaweza akafanya jambo gani likampelekea katika hali hiyo
 
Kapime damu kubwa. Utapata jibu

Mkuu kama Ukimwi nimeshapima, na je kuna uhusiano gani wa ugonjwa wa Ukimwi na hali ninayoizungumzia? Na pia sio suala lilojitokeza hvi karibuni ni jambo la mda mrefu sasa linamiaka tokea nilipoanza chuo
 
Wakuu Habari….

Nimekua na tatizo linalonisumbua kwa mda mrefu, nakua na hali ya kuwa na wasiwasi na kuogopa, inawezekana hata mtu akifungua mlango wa chumbani basi najikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio na pia nakua na hali yakujawa na pumzi, hii pia inaniathiri hata nikiwa naongea mbele za watu hasa pale watu nisiofahamiana nao nakua na hali ya kuogopa, pumzi na hata nikashindwa kuwasilisha kile nachohitaji kuwasilisha.

Unakuta pia kuna wakati mtu anaweza niuliza kitu cha kawaida hapo hapo nikaanza kupanic hata na uongeaji utabadilika kama hali ya kutetemeka.

Kwakweli hii hali inanisumbua sana na inaniumiza, kama kuna mtu alipitia hii hali alifanya kitu gani mpaka akaweze kuiondoa.
KWA MAELEZO YAKO HILI NI JAMBO LA KISAIKOLOJIA AU KIROHO PIA

Kimsingi ingekuwa vyema ungejua chanzo cha hofu yako na wasiwasi ulionao maana kutatua tatizo kwa usahihi ni lazima kujua chanzo sahihi cha tatizo lako.
Nimeshakuwa na tatizo kama lako kwa muda mrefu sana lakini kwangu linaelekea kwisha kwa sasa.
Mara ya kwanza sikulitilia maanani mpaka nilipotakiwa kuwa mwalimu kwenye shule fulani ndipo nilipoiona shida.
Mke wangu akawa msaada kwa sehemu fulani maana alikuwa akiniuliza maswali yanayonipeleka kujua chanzo.
mfano:
1. Je wakati wa utoto wako kuna jambo uliwahi kufanyiwa ukajiona kuwa huna la maana utakaloweza kulifanya? Nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa nikichekwa sana na kupewa majina ya ajabu sana. Hili likanifanya nisiweze kuwa najitokeza mbele za watu mpaka ukubwani.
2. Je umeshawahi kusemewa maneno na ukaona kana kwamba wengine ni bora kuliko wewe? Mfano mimi nakumbuka mwalimu wangu wa somo la historia alikuwa akiniambia wewe utafeli tu. Hili lilinifanya nijione mimi siwezi kitu
3. Je katika kukua kwako ulikuwa unaongea katika makundi mbalimbali mfano kuwasilisha mada katika daarasa? Mimi nilikuwa nakwepa kwenda kuwasilisha mada mbele za watu kwa sababu nilishapata woga tangia nikiwa mdogo.

Mwaka 2018 Mungu aliniambia kuhusu kazi fulani ambayo nilitakiwa kuifanya kwenye jamii na kazi hiyo inanitaka mimi nisimame kwenye watu wengi. Kweli nilianza kujitetea nikimwambia kuwa siwezi kusimama mbele za watu na blaa nyingi.
Nakumbuka mwaka 2019 alifanya mambo mengi ya ajabu sana kupitia mimi. Lakini ndani yake ndipo nikajifunza kuwa Mungu alitaka kuniondolea woga. Ndiyo maana utakuta mara nyingi Mungu anakwambia usiogope ndipo anaendelea na maagizo mengine.

Hata sasa nipo sehemu fulani ambayo Mungu amenipeleka na jambo mojawapo analonifanyia ni kunijengea kujiamini. Yaani kuna mazoezi ananipa kuyafanya mbele za watu. Zoezi mojawapo ananipa maada halafu ananiambia nifundishe watu. Hili zoezi hata wewe unaweza kulifanya ukianzia kwenye familia yako, marafiki nk

Kumbukumbu 20:1-4
Fanya zoezi hili pia andaa mada fulani halafu nenda kwenye chumba fulani halafu fikiri kuwa kuna watu wamejaa wanakiskiliza namaanisha angalia kwa macho yako ya ndani uone kundi lililo mbele yako anza kusema hicho unachotaka kukisema wala usisite na usiogope. Ninachokisema namaanisha.

Pia uwe unaisemesha nafsi yako kila wakati uiambie "usiogope wewe unaweza".

Mimi ninavyoandika hili nipo huku kwaajili ya hilo pia kama lako tangia mwezi wa 9 mwaka 2021.
Kila la heri

Zaidi pitia hapa maana pia mimi nilijifunza kitu.
 
Huna self confidence,hii inaweza kusababishwa pia na aina ya maisha uliyo yaishi katika makuzi yako,

Huende uliishi maisha ya kupigwa na lufokewa kila muda,

Jaribu kua unajichanganya na watu utabadilika tu,usipende kukaa peke yako,pia fanya mazoezi.
 
Mchubgaji Sunbella & Dr Ellie Waminian
Wameongelea hili swala vizuri sanaa
 
Wakuu Habari….

Nimekua na tatizo linalonisumbua kwa mda mrefu, nakua na hali ya kuwa na wasiwasi na kuogopa, inawezekana hata mtu akifungua mlango wa chumbani basi najikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio na pia nakua na hali yakujawa na pumzi, hii pia inaniathiri hata nikiwa naongea mbele za watu hasa pale watu nisiofahamiana nao nakua na hali ya kuogopa, pumzi na hata nikashindwa kuwasilisha kile nachohitaji kuwasilisha.

Unakuta pia kuna wakati mtu anaweza niuliza kitu cha kawaida hapo hapo nikaanza kupanic hata na uongeaji utabadilika kama hali ya kutetemeka.

Kwakweli hii hali inanisumbua sana na inaniumiza, kama kuna mtu alipitia hii hali alifanya kitu gani mpaka akaweze kuiondoa.
Vidonda vya tumbo na magesi ndo yanaleta umaku design hyo mm nishazoea nlivokua sielew tatzo nn ndo nilikua najiuliza sana lkn nishaelewa nikila chakula kibovu lazma itanitokea tu
 
Back
Top Bottom