Mpeleke Hospitali hara iwezekanavyomdogo wangu alikua anawasha moto wa mkaa cheche za mkaa zimerukia kwenye mboni ya jicho sasa kamejitokeza kadoti keupe kenye ukubwa kama nukta(.)
anasema anasikia maumivu kwa mbali..
kwa taarifa hiyo naombeni msaada matibabu na ushauli
mdogo wangu alikua anawasha moto wa mkaa cheche za mkaa zimerukia kwenye mboni ya jicho sasa kamejitokeza kadoti keupe kenye ukubwa kama nukta(.)
anasema anasikia maumivu kwa mbali..
kwa taarifa hiyo naombeni msaada matibabu na ushauli
sasa hivi kidoti cheupe kinazidi kupungua..ikifika asubuhi kimeisha itabidi niache kumpeleka hospitali
ushauli ni mzuri kiongozi siyo kila kitu lazima uende hospital sababu kuna watu wanaweza wakawa na njia mbadala lakini pia kumbuka niko mbali sana hospitalDaah sio mzima wewe...hivi kweli umekaa umetafakari ukaona uje kusubiri ushauri hapa wakati mdogo wako anaendelea kupata madhara??...
Ikiwa kemikali kama vile asidi au alkali, mate ya nyoka, saruji (cement), chokaa au cheche ya moto vimeingia kwenye jicho, jambo la kwanza ni kuchukua chombo chenye maji safi kisha zamisha macho yako kwenye maji hayo safi kwa kutazama ndani ya maji huku ukiyaosha, unaweza kuendelea na zoezi hili kwa dakika 15, pia unaweza kutumia njia hiyo kama umeingiwa na mchanga au kitu chochote machoni. Ikiwa kope zimeteketezwa kwa kuungua au kuharibika, tia mafuta ya macho ya ''tetracycline'' kisha fika haraka hospitali.mnamlaumu wakati inawezekana tukio limetokea usiku. hv hapa na mimi kuna mtu imemtokea nikasema nitafute ushauri nakuta lawama