Poa poa shukrani ndugu yanguDawa ninayotumia mimi sikuzote ninapo kuwa na hali hiyo ni kuchemsha maji na chumvi halafu husukutua na kutema maji hayo kama maratano hivi kwa wiki moja au unapojisikia kupona.
Note:
Maji ya uvuguvugu na chumvi(kiasi) fizi itapasuka na uchafu(usaha) utatoka utakapoiva.
Unaweza ukafanya muda wowote lkn vizuri asubuh na usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app