Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Za mida wakuu nina ishu inanitatizaa hapa et ikitokea umejichoma n kitu chenye kutu ukiacha tetenasi kuna uwezekano ugonjwa wa UKIMWI pia ukaambukizwa kwa njia io? Swali ni kwamba can rusted...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Habari za saa hizi wanajamvi! Nimekuwa nikisumbuliwa na rushes, matango tango kwa muda mrefu sasa, nimewahi kutumia Gentilene na dawa nyingine za kupaka but sijaona improvement yoyote, naombeni...
0 Reactions
11 Replies
19K Views
Ninaomba mwenye kuijua tiba mbadala ya maumivu ya mwili mzima anisaidie Tafadhali!
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada na ushauri kwenu, Mkono wa kusho unaniuma unakosa nguvu na mda mwingine unapata ganzi nakosa hamu ya kula na kichechefu Nimepima UTI na MARELIA vyote wamesema sina Naomba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dawa zinazotumiwa na wajawazito wanaoishi na virusi vya Ukimwi (VVU) kukinga maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto zimeonyesha kujenga usugu kwa kiwango kikubwa kwa mujibu wa utafiti...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Baadhi ya watu huamini kuwa kutumia unga wa dawa iliyo tengenezwa kwa mfumo wa “capsule” ndiyo njia sahihi na haraka ya kupona ugonjwa husika. Kitaalamu, dawa hutengenezwa kwa mfumo wa capsule...
3 Reactions
0 Replies
952 Views
Ndani ya wiki moja baada ya kuzaliwa, mtoto wa kike anaweza kutokwa na kiasi kidogo cha damu kwenye via vyake vya uzazi. Kitendo hiki kinachofahamika kama false menses (Hedhi ya uongo) ni cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina jamaa yangu ambaye aliugua bawasiri akafanyiwa upasuaji. Kuna madai kuwa baada ya upasuaji ugonjwa huu unarudi. Wanadai kuwa ukitibiwa hauponi moja kwa moja. Unarudi. Naomba ushauri na...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Wahudumu wa afya nchini Scotland wamepewa mwongozo mpya unaoangazia uhusiano kati ya pombe na saratani. Mwongozo huo uliochapishwa na Scottish Health Action on Alcohol Problems (SHAAP)...
0 Reactions
1 Replies
611 Views
Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vujulikanavyo kitaalam kama (Ebola Virus). Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Watafiti wameabainisha kuwa unywaji wa sharubati ya beet root unaimarisha afya ya moyo. Zao hili linastawi sana hapa Tanzania lakini si zao maarufu kwa walaji. FUATILIA HAPA Beetroot juice may...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzania yatoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ebola Wizara ya Afya nchini Tanzania imewashauri wananchi wake kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ebola siku moja baada ya nchi jirani ya Uganda...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Habari zenu wakuu Nina mtoto mchanga ana miezi miwili ana mwezi sasa hapati haja kubwa, nasubiria afikishe miezi mitatu aweze kupimwa x-ray inabidi apigwe bomba mara kwa mara, mwanzoni alikuwa...
15 Reactions
79 Replies
6K Views
Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna mgonjwa wa Ebola aliyeripotiwa nchini huku ikiwashauri wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo. Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji katika mipaka ya nchi na viwanja vya ndege kupitia mikakati sita ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliotangazwa nchini Uganda...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Ulinzi umeimarishwa kati ya wasafiri wa ndani, wanaotoka na kuingia nchini Uganda ikiwa ni hatua za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ya nchi hiyo katika kuzuia virusi vya ugonjwa wa Ebola...
0 Reactions
1 Replies
653 Views
Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Unaelewa nini ukiambiwa umeze dawa kutwa mara tatu? Maduka mengi ya dawa pamoja na hospitali zetu hutumia lugha hii kimakosa pasipo kuwaelewesha vizuri wagonjwa. Kwa kiasi kikubwa, huwafanya...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi mwanaume anaweza kumwambukiza mwanamke PID mpk mwanamke akaumwa hoi halafu mwanaume yeye akawa sawa tu ? Au mwanaume nae ana dalili zake kwny ugonjwa huo. Naomba kuwasilisha [emoji122]
2 Reactions
7 Replies
16K Views
Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema kila siku inapokea wagonjwa watatu wenye tatizo la kiharusi (stroke). Hayo yameelezwa leo Septemba 20 na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Laurent...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…