Hivi mwanaume anaweza kumwambukiza mwanamke PID?

Hivi mwanaume anaweza kumwambukiza mwanamke PID mpk mwanamke akaumwa hoi halafu mwanaume yeye akawa sawa tu ? Au mwanaume nae ana dalili zake kwny ugonjwa huo.

Naomba kuwasilisha

Pelvic Inflammatory Disease (PID).
Ni ugonjwa ambao mara nyingi hutokana na wadudu wanaoambukizwa kwa njia ya kujamiiana. Ugonjwa huu hushambulia viungo vya uzazi pamoja na maeneo ya jirani.

Wadudu hao wamejijengea mazingira ambayo tendo hili huweza kuwahamisha toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Na pia huweza kupanda/ascend kufuata mfumo wa uzazi.

Kuna baadhi ya wadudu hawa huweza kuonyesha dalili zaidi kwa akina mama na wengine kwa akina baba. Wapo wengi lakini muhimu zaidi ni: Trichomona vaginalis, Chlamydia na Gonococcal.

Chlamydia huwa haonyeshi dalili sana kwa akina baba ila kwa wamama huwa anapoonyesha zaidi.

Hii ndiyo sababu hupelekea kwa mtu ambaye amepata dalili ya maumivu na ute/discharge baada ya kushirikiana tendo, tiba huzingatia kujaribu hawa wadudu wote kama hajafanya culture na sensitivity.

Hivyo, kuna watu wanaweza kuwa na haya matatizo bila kuwa na dalili/carriers au kwa kutibiwa na kutopona vyema.

NB: Wadudu hawa huweza kuhama toka pande zote mbili yaani: me kwenda ke na ke kwenda me vs me kwa me.
Kinga ni bora kuliko tiba, tujikinge kwa kuwa mahusiano mema au na ulinzi mara zote.
 
Unyama sana ✌✌
 
Back
Top Bottom