Msaada wenu wakuu mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na nusu toka juzi kaanza kutapika kila anapoonja chakula umchukua takribani dakika tano tu anapokula chakula anatapika.
Nimempeleka hospitali...
habari wadau za jioni mwenye uzoefu na hizo natural herb supplements ambae amewah tumia manake nimeambiwa zinasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuboost immune system kwa wale wwnye viral...
Hali ya Mtoto wa Jicho hutokeap pale lenzi ya jicho inapopata ukungu na kuathiri uwezo wa kuona. Ni chanzo kikuu cha upofu kwa watu wenye umri wa miaka 40 na kuendelea.
Chanzo
Visa vingi vya...
Habari za mchana,
Naomba usaidizi kwa wataalam wa macho haya maelezo ya Dr yanaelezea mgonjwa anatatizo Gani?
Maana kapewa miwan lkn akitembea anaona km mabonde mabonde afu vitu km vimebinuka...
Hellow guys kuna kitu nilikuwa nahitaji ushauli kidogo niko katika mahusiano na binti mmoja mdogo hatuna muda sana katika mahusiano yetu lakin ukweli nampenda sana na nahisi nae ananipenda tatizo...
When it comes to sex and sexual life, lasting longer in bed is the most popular discussion among men. Among women, it is how often they reach orgasm and how long it takes and very few times how...
Imezoeleka kudhani kuwa ugali ni chakula chenye nguvu sana. Lakini ukweli ni kuwa ugali ni moja ya chakula dhaifu sana duniani.
Nguvu ya chakula hupimwa kwa calories. Sasa, 100g za chips zina...
Hii kitu sijawahi kuhadithia mtu hahaha, mara ya kwanza enzi hizo niko form two kwenye NECTA, niseme tuu nilikuwa na focus sana na mamitihani ile na sijawahi kusoma kwa focus kama vile.
Basi siku...
Ndug wana JF naombeni ushauri nina mtoto wa miezi 5 lakini huyu mtoto Kila ukijaribu kumsimamisha hata miguuni anakunja miguu lakini ana uwezo wa kurusha miguu vizur lakini unapohitaji...
Nauliza tuu jamani hivi kwani nini kila mtu mwenye ulemavu wa akili (taahira) na kuwa na mwili mkubwa/bonge ,baunsa awe mwanamke au mwanamke je kuna mahusiano gani maana kila ninaowaona wana mwili...
Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe source.Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe | Light On Conspiracies - Revealing the Agenda
HATARI YA CHANJO KWA WATOTO...
Antibaotiki (Kiingereza antibiotics, mara nyingine Kiua Vijasumu) ni kemikali ambazo hutumika kuua au kuzuia ukuaji wa vijidudu vinavyosababisha magonjwa. Mwanzo neno antibaotiki lilitumika...
Habari za wakati huu, niende moja kwa moja kwenye uzi.
Kiukweli magonjwa ni mengi sana ya kuambukizwa na haya yasiyo ya kuambukizwa.
Lengo la kuleta uzi huu ni baada ya kushuhudia mtu akikata...
[emoji269] *UFAHAMU UGONJWA WA NGIRI NA TIBA YAKE* [emoji269]
[emoji298]Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za...
Wasalam JF,
Wakuu nina kichanga cha miezi mitatu,tangu akiwa na mwezi mmoja nimekuwa nikimwambia mama yake amchunguze vizuri hasa sehemu za siri.
Akawa ananiambia mtoto ana korodani moja...
Waungwana naomba ushauri wenu katika hili tatizo hili limekuwa sugu kwangu huwa natumia dawa za kupunguza gesi lakini zikiisha tatizo linaendelea
Mwenzi wangu kwa maana ya mke kanivumilia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.