Gimsomin and gingko biloba capsule

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
966
1,225
habari wadau za jioni mwenye uzoefu na hizo natural herb supplements ambae amewah tumia manake nimeambiwa zinasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuboost immune system kwa wale wwnye viral infection labda na wenye general body weakness kwa kukosa vitamin na madini flani mwilini. kuna ukweli wowote. Madhara je zinatibu tatizo au kuongeza tatizo. nawakarbisha.

mwenye uzoefu wowote.
 
habari wadau za jioni mwenye uzoefu na hizo natural herb supplements ambae amewah tumia manake nimeambiwa zinasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuboost immune system kwa wale wwnye viral infection labda na wenye general body wickness kwa kukosa vitamin na madini flani mwilini. kuna ukweli wowote. Madhara je zinatibu tatizo au kuongeza tatizo. nawakarbisha.

mwenye uzoefu wowote.
kwa maelezo ya manufacturers wanasema hizo ndo faida zake.. sasa labda ajitokeze aliyewah kuvitumia atupe ushuhuda.
 
kwa maelezo ya manufacturers wanasema hizo ndo faida zake.. sasa labda ajitokeze aliyewah kuvitumia atupe ushuhuda.
And how long inacgukua ku recover manake ma,Dr wengi wanazipinga hizi natural supplement hawataki kuzisikia.
 
habari wadau za jioni mwenye uzoefu na hizo natural herb supplements ambae amewah tumia manake nimeambiwa zinasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuboost immune system kwa wale wwnye viral infection labda na wenye general body weakness kwa kukosa vitamin na madini flani mwilini. kuna ukweli wowote. Madhara je zinatibu tatizo au kuongeza tatizo. nawakarbisha.

mwenye uzoefu wowote.

Ni muunganiko wa concentrated minerals/madini na vitamins.

Kuna maeneo matatu ambayo inaweza kukusaidia:

1: Kupunguza au kuondoa athari hasi za oxidative stress pamoja na inflammatory reaction ya mwili dhidi ugonjwa.

2: Husaidia mwili kupata kwa urahisi components kwaajili ya body repair baada ya uharibifu unaotokana na ugonjwa.

3: Husaidia mwili kupata materials za kuujenga na kuunawilisha pale ambapo tatizo la msingi ni ukisefu wa madini na vitamins.

Kipindi gani hukuchukua kupata matokeo chanya hutegemea na kiasi cha tatizo, lakini mara nyingi ndani ya wiki mabadiliko huweza kuanza kuonekana. Ingawa wakati mwingine mabadiliko yaweza kuchukua muda zaidi kulingana na tatizo vs matatizo husika.

NB: Kwa wale ambao wanaweza kupata kwa ukamilifu natural products yaani matunda ni bora zaidi.
 
Back
Top Bottom