Sphory
Member
- Dec 22, 2012
- 34
- 7
Msaada wenu wakuu mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na nusu toka juzi kaanza kutapika kila anapoonja chakula umchukua takribani dakika tano tu anapokula chakula anatapika.
Nimempeleka hospitali jana wakafanya vipimo vyote lakini wakasema yuko poa itakuwa ni mchafuko wa tumbo tu.
Na dawa kapewa . Lakini toka hiyo jana bado sioni nafuu akionja tu chakula hata kunyonya kwa mama yake dakika tano nyingi anatapika.
Msaada wakuu kwa yoyote anayefahamu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app