Hivi kuna mahusiano gani ya mtu mwenye utindio wa akili/ taahira na unene

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,797
Nauliza tuu jamani hivi kwani nini kila mtu mwenye ulemavu wa akili (taahira) na kuwa na mwili mkubwa/bonge ,baunsa awe mwanamke au mwanamke je kuna mahusiano gani maana kila ninaowaona wana mwili mkubwa?
 
Anaitwa Tahira akiwa anatokea kwa Jirani Ila ungekuwa naye hapo kwa mamako wala usingehangaika kuuliza kwanini ni Bonge but ungekuwa ukiomba na kutafuta Dawa ili apone. Jiangarie na mawazo yako hayo.
Jamaa ana jamaa bonge kamgongea mke na kamzidi hela sasa chuki zake kwa huyo muhuni anahamishia kwa ndugu zetu walemavubwa akili.mbona matajiri na wasomi wakubwa ni mabonge ??nao ni hilo jina analotumia ?
 
Kuna mahusiano gani na coment yako hii.
 
Jamaa ana jamaa bonge kamgongea mke na kamzidi hela sasa chuki zake kwa huyo muhuni anahamishia kwa ndugu zetu walemavubwa akili.mbona matajiri na wasomi wakubwa ni mabonge ??nao ni hilo jina analotumia ?

Havifanani hata kimuonekano
 
Back
Top Bottom