Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike
umri miaka 15.
mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy.
Hili...
Habari za wikendi wana jmm,
Nimekuja naombeni ushauri wenu.
Ni hivi wiki iliyopita kuna demu nimetafuna kimasihara mnamo Jumatatu na niliuza mechi sikutafuna na ndom.
Sasa leo nimeamka...
Kesho tarehe 1/12/2022 twendeni tukapime maambukizi ya vvu ili kujua afya zetu. Endapo utakuwa umeathirika unaweza kutumia dozi ya ARV na kuepusha maambukizi zaidi.
Shime wafanyakazi wa sekta...
Karibu 80% ya magonjwa yanayosababishwa na viini husambazwa kwa njia ya mikono kwa mujibu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (Centers for Disease Control and Prevention -...
Habari wakuu,
1.Tujuzane hapa kama unawajua waganga wa asili wanaotibu meno,hasa fizi kuvimba na maumivu makubwa ya meno.
2. Dentists wazuri.
3.Hospitali nzuri za meno.
4. Dawa nzuri ya meno...
Salaam wakuu,
Hivi kuna dawa yoyote ya kusafisha tumbo/ kusababisha kuharisha?
Jirani yangu ameniomba nimshauri lakini nikatoka kapa, anadai anapata choo kwa taabu sana, nimemshauri anywe...
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya mfano katika udhibiti wa maambukizi ya Ukimwi na vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Ukimwi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ukimwi...
Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imebainisha hayo katika ripoti ya kufikia lengo la kimataifa la kupunguza vifo vinavyotokana na VVU ifikapo mwaka 2030.
Lengo ni kuwa ifikapo mwaka huo 90% ya...
Si unajua tena gharama za kumuona dokta yaani consultation fee ilivyo kubwa? Kama kuna yeyote humu anisaidie ushari, mara kadhaa nimeenda hospitali sababu ya vidonda ndani ya mdomo pembeni, wakati...
Wakuu nani anaejua dawa ya nyonga? Yaani zinanipa shida sana kila nikitoka kufanya 'jogging'. Sijakimbia siku nne nikizisikilizia, ajabu leo jioni nimekimbia zinaniuma hadi...
Manzi wangu nampenda sana, ila kero kuu kutoka kwake ni huo ugonjwa wa fangasi, akitumia dawa zinaisha ila baada ya muda zinarudi, keshatumia dawa za kuweka ukeni, vidonge vya fluconazole lakini...
Habari za mchana naomba msaada wa kitaalami Nina Maumivu makali sana chini ya bega la kushoto tangu mwezi wa nane, nimejaribu kwenda hosp nikapimwa x-ray hawakuona shida, niliwah vunjika mkono wa...
Habari wana jamvi, nina simu aina ya Samsung nilikuwa niliuziwa na mtu, kwa bahati mbaya hii simu kumbe ni zile za mkopo za M Koba Ya Uganda, nimekuwa natumia vzr lakn leo imejifunga na inaomba...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wana JF
Maana ya kuuliza hivyo kuna siku moja nimeenda zahanati tena ya serikal nmefika pale nikamuelezea daktari hali yangu na yeye akanielekeza kwenda...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limechukua uamuzi huo baada kushauriana na wataalamu kutokana na uwepo wa malalamiko kwamba jina la sasa lina Ubaguzi wa Rangi na Unyanyapaa.
WHO imehimiza mashirika...
Katika kitu kinachonisumbua kwa Sasa ni huu ugonjwa wa UTI mke wangu.
Anasumbuliwa na huu ugonjwa hauponi hapa nilipo naona unantia hasara na suluhu sipati kachoma sindano, kameza dawa kafyanyiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.