Nani imewahi kumtokea hii Hali

Nani imewahi kumtokea hii Hali

Themann

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2022
Posts
3,844
Reaction score
16,097
Habari za jioni wakuu poleni na shughuli za hapa na pale Nina jambo kidogo nahitaji tushirikishane inawezekana hili jambo linawatokeaga na wengine ningependa kujua tatizo hili lina sababu za kibaiolojia au kiroho zaidi niende kwenye mada.

Kuna wakati Nikiwa usingizini iwe usiku au mchana siinafika..
Muda usingizi unataka kuamka Sasa wakati naamka...
Macho hayafunguki mdomo haufunguki Wala mwili haufanyi chochote dizain kama umekufa ganzi hivi Sasa humu najua Kuna wataalamu wakila aina naombeni ufafanuzi wengine.
Pengine sipo peke angu nnae patwa na hiii Hali kwa ushauri
Itakuwa faida kwa wengi.

Asante:

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Inaitwa sleeping paralysis … inaogofyaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inasababishwa na nn, sijui.

Wenyewe wanasema ni ubongo unakuwa umeamka kabla ya mwili.
Yeah somehow na inagopesha kinoma unafikilia kuwa itakutokea Tena unaanza kuwaza ila ikikukamata unakuwa Hauna ujanja najua wengi tu inawatokea hii.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Inatokea sana, wengine wanasema eti ndio mtoa roho anakukaba ili usiamke tena ila unapambana nae.

Sijui kisayansi ina maelezo gani
 
Mkuu, jaribu kufua mashuka, kabla ya kulala hakikisha unatandika kitanda chako kwanza, usipende kulalia foronya, fungulia madirisha hewa iingie ndani, punguza kuangalia movies za mazombi, jaribu kulala uchi ila tu usilale kifudifudi ukaja kuuponza

Usisahau mrejesho
Nipo sehemu yenye hewa nzuri madirisha makubwa tu bado Sion sababu inayochangia kwa mambo ulio yataja.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Nipo sehemu yenye hewa nzuri madirisha makubwa tu bado Sion sababu inayochangia mkuu.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Ulikuwa ni utani tu. Hiyo ni sleeping paralysis. Pindi unaposhikwa na usingizi completely, huwa kuna chemical inamwagwa kwenye misuli yako kwa msaada wa taarifa ya ubongo ili kusudi ubongo ukiaanza kurecall matukio (ndoto), usiote huku unatembea na kukimbia usingizini really.

Tatizo la mwili wako ni kuwa, ubongo wako una delay kuruhusu hiyo chemical kuachia misuli yako kwa wakati. Hivyo unapata fahamu ilihali mwili wako uko usingizini. Na kuna wakati unaweza fumbua macho pasi na mwili kujitikisa, hii ni kwa kuwa misuli ya kope inakuwa active kipindi cha REM.

Nikisema nicheki PM nikupe mawasiliano yao nitapondwa kama mwizi hapa. Kikubwa nenda hospitali yoyote inayoeleweka watakupatia tablet au injection ambazo ni activator. Tatizo lako litaishia hapo
 
Hapa nimeelewa nitamuona daktari anisaidie Kuna jamaa yangu aliniambia yeye pia iliwahi kumtokea ila miaka mingi Sana imepita Sasa kwangu ni mara kwa mara inatokea.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Hapa nimeelewa nitamuona daktari anisaidie Kuna jamaa yangu aliniambia yeye pia iliwahi kumtokea ila miaka mingi Sana imepita Sasa kwangu ni mara kwa mara inatokea.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Si bora wewe sasa, mimi nilikuwa naamka kabisa na kuuacha mwili. Ukiwa kwenye hiyo state ukitulia tu unaamka unauacha mwili kitandani
 
Zipo Nyuzi hapa za Kina Pascal na Rakim zimeelezea mengi kuhusu kile mtoa mada anaeleza, nenda kazitafute, itakutana na wenzako huko, Na Wataalam wameyaelezea kwa kina zaidi.
 
Unauachaje Tena

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Through astral projection, ntakufundisha ufuate nini, lakini ukubali kwanza hiyo hali inayokutokea iwe mara mbili yake. Kwa kuwa tayari una suffer kwenye hiyo hali, nirahisi sana kui double

• Kwanza punguza uoga, acha mambo ya kufikiria kifo
• Kuwa tayari ku experience "Out of Body Experience"
images%20(1).jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom