Nashindwa kukojoa vizuri, nitumie dawa gani?

Nashindwa kukojoa vizuri, nitumie dawa gani?

Kunywa maji mengi kila siku, kamulia limao au chemsha majani ya malimao na uchanganye kwenye maji utakayokunywa.

Hakikisha unakunywa hata lita nne kila siku kwa siku tano.

Tatizo likiendelea nenda hospitalini.

Water is natural remedy.
 
shuklan mkuu nimepat majan ya limao ngoja nichemshe
 
Chemsha majani ya muwaawata,mzalia nyuma na mfumba chiku kisha kunywa kikombe kimoja baada ya kuchemsha ndani ya maji lita moja kwa kiasi ya dakika 20,acha ipowe na kunwa kikombe cha kahawa kimoja tu asubuhi na jioni.
usipoifahamu nitumie SMS 0773031227
 
shuklan mkuu ila ayo majan ndy umeniach njia panda
 
Nenda hospital haraka.
Matumizi ya dawa za kienyeji ovyo bila kipimo sahihi ndiyo chanzo cha kuuwa figo.
Tatizo lako ni dalili ya magonjwa tofauti mojawapo inaweza kuwa tezi dume, inaweza kuwa UTI sugu n.k.
 
Tatizo limeanza juzi, yaani natoa haja ndogo malra kwa mara kwa shida sana pia tumbo linaniuma nitumie dawa gani?
Nenda hospital. Hiyo siyo dalili nzuri kuanza kitumia mitishamba au dawa zozote bila kwenda hospital ujue chanzo cha tatizo ni hatari sana kwa afya yako
 
Gono pro max
Kuna mdau alisema wanawake wengi siku hizi wana matatizo ya kiafya kwasababu wanavaa suruali zinazo bana.
 
Back
Top Bottom