Kwa wanaosumbuliwa na nguvu za kiume

Kwa wanaosumbuliwa na nguvu za kiume

big IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
494
Reaction score
903
Mwaka jana nilipost hapa kuhusiana na rafki yangu aliepata ajali na kupoteza nguvu za kiume, kupelakea ndoa yake kutaka kuvunjika, sote tunaelewa kwmba waganga weng siku hizi ni waongo, tulienda kwa mtaalamu mmoja handeni akatupatia dawa imemsaidia jamaa ndoa yake imenusurika na mke wake ana mimba ya miezi saba anafuraha na amani anaendelea na shughuli zake kama kawaida najua ni tatizo la wengi na nina nia ya kusaidia tu na sio vinginevyo, kama we ni mmoja wapo ni PM nijue namna gani naweza kukusaidia hata kama upo mbali.

Mwisho wa kuwasilisha.
 
Haya ngoja waje mkuu,mim ninazo za kutosha mpaka zinakua kero sijui nitazipunguzia wapi!!
 
Hili ni tatizo sana kwa wanaume wengi
tuwekee basi hapa hadharini uokoe jahazi
mimba zinapatikana hivo hivo tu kwa kuunga unga nguvu hakuna tena
poor men, poleni wanawake...
 
Sina tatio la nguvu za kiume SISHAURI WAT KWENDAA KWA WATAALAMU a.k.a wizard mana hao huwa wanapumzsha tatizo coz litarud kivingine .

Hat Mungu apendi mwambe jamaa yak awe makni na MIMBA iliyobebwa na mkewe asijekuzaa viitu vya ajabu kama Zinduna aliyeimbwa Bahati Bukuku
Uwe nauhakika ukianza kwenda kwa wataalam hutaacha mana wageuka kuwa mungu wako then unkuw mtumwa maisha yak yote
 
Mzizimkavu alishatoa ushauri nasaha na tiba mbadala
 
Hiii mhili swala limekugusa sna maana kila kona unalilalamikia toka MMU mpaka huku
 
Hili ni tatizo sana kwa wanaume wengi
tuwekee basi hapa hadharini uokoe jahazi
mimba zinapatikana hivo hivo tu kwa kuunga unga nguvu hakuna tena
poor men, poleni wanawake...

Hahaha! Unapenda kuponda wanaume...hakuna siku umewahi kupigwa kisawasawa mpaka ukamkia mara mbilimbili?
 
Hili ni tatizo sana kwa wanaume wengi
tuwekee basi hapa hadharini uokoe jahazi
mimba zinapatikana hivo hivo tu kwa kuunga unga nguvu hakuna tena
poor men, poleni wanawake...

Wewe una tatizo sio bure
 
Jf doctors inahusisha na waganga wa jadi sasa! Na wewe unakuwa agent wa mganga wa jadi?
 
Hili ni tatizo sana kwa wanaume wengi
tuwekee basi hapa hadharini uokoe jahazi
mimba zinapatikana hivo hivo tu kwa kuunga unga nguvu hakuna tena
poor men, poleni wanawake...

Mmmmh!!!!!una shida wewe siyo bureee...unatutukana hivyo hadharani....ngoja upate wa kukupa dose vizuri heshima itarudi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom