Mara tu mapigo ya moyo wako yanaposimama kupiga, mwili wa binadamu huanza mara moja mfululizo maalum wa mabadiliko ya kibaiolojia ya kuoza.
Kadiri oksijeni inavyoacha kusambazwa, seli huanza...
Korodani yangu upande wa kushoto ina kama kamba zimejisokota, nimeenda hospital kufanya ultrasound Dokta akasema nina varicocele, matibabu ya kufanyiwa operation ili kutoa huo msokoto.
Hali hii...
Naombeni msaada wa hospitali nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe huko njia ya haja kubwa. Sipati maumivu yoyote nimeamua tu kukitoa hicho kinyama sikitaki.
Naombeni msaada wa hospitali na gharama...
Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na...
Watumishi Kada ya Elimu na Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda wanafanya kazi kwa presha sanaa, maana Wananchi wanawapigia viongozi sana kulalamika wakati kazi inafanyika.
Kinachotokea...
Ninatumia dawa za h-pylori dozi ya pili leo natimiza wiki moja ila sipati afueni yoyote kizunguzungu km nataka kuanguka bado kipo mwili kujiskia vibaya hali bado ipo,nikitembea kdg tu maruerue km...
Habari za muda huu wadau, najua kila mmoja wetu anaelewa kuwa kabla ya bidhaa yeyote ile kabla ya kuingia sokoni na kumfikia mtumiaji wa mwisho lazima ipitie.
Kwenye majaribio mbalimbali...
Ni karne nyingi tumekuwa tukiaminishwa kwamba chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu lakini sijawahi kusikia habari za sukar kupigiwa chapuo kuwa ina athari.
Kama chumvi ina athari katika...
Habarini za mchana,
Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.
Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku...
Nimetimiza zile siku za kusubiria ili nikapime tena wakuu mdudu bado yupo ila hakuna kuumwa tumbo ni kichwa kuuma kizunguzungu kama nataka kuanguka, mwili kuchoka, kuhisi kama kuna kitu hapa...
Habari za wakati huu,
Usingizi sio anasa — ni tiba ya mwili na akili.
Watu wengi wanapuuza kulala vizuri wakidhani ni kupoteza muda. Ukweli ni huu: ukikosa usingizi wa kutosha, unajinyima nguvu...
Wale wenzenu mnaowaiga wanafanya enema na mitalo inakuwa misafi then wanafanya yao ila nyie mnaenda kichwa kichwa kuiga dhambi msizozijua.
Kushiriki uzibuaji bila ya kuvaa gloves kunaweza...
Vinyama vya Ajabu Vinavyotokea Kimya Kimya (HPV)
Mara nyingi vinaanza vidogo, bila maumivu au kuwasha, lakini huendelea kukua taratibu bila onyo.
Hivi si vinyama vya kawaida — ni genital warts...
Zifuatazo ni sababu kuu zinazoweza kusababisha mwanamke kukosa ujauzito (utasa). Tatizo linaweza kutoka kwa mwanamke, mwanaume, au wote wawili.
🌸 SABABU ZA MWANAMKE
1️⃣ Matatizo ya ovulation...
Habari zenu
Vipendhy nina shida kdg hapa kifuani upande wa kushoto kuna baadhi ya muda nahisi kama kuna kitu nimeenda hosptal wakaniambia ni gas tu wakanipa dawa ila nikawaomba wanipime moyo...
Msaada Wataalam: Kuanzia tarehe 8-9-10-11-12 mwezi huu nilifanya mapezi na shemeji yenu nikasafiri, nikiwa sipo nyumbani tarehe 20 alinipigia simu akaniambia anaumwa anatokwa maji maji ya rangi...
Kama title ya thread ilivyo hapo juu.
Naomba kwa anayefahamu dawa ya fangasi kando kando ya pumbu (korodani) zinakolalia (mapajani) zinasumbua sana sana Kwakweli.
Anaye fahamu dawa naomba...
Kipindi mgeni mazingira haya joto limenitesa sana ikafika kipindi najikuna sana makwapani mapele na mpaka leo makwapa meusi ingawa sijikuni tena
Sasa nilipooa na kumleta mke wangu naona naye...
Watoa huduma za afya nchini Tanzania wamepewa nyongeza ya mwezi mmoja kukamilisha usajili wa lazima wa kitaaluma, kufuatia malalamiko mengi kuhusu changamoto za kiufundi katika mfumo wa mtandaoni...