Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

phd1919

Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
26
Reaction score
29
Habari za muda huu wadau, najua kila mmoja wetu anaelewa kuwa kabla ya bidhaa yeyote ile kabla ya kuingia sokoni na kumfikia mtumiaji wa mwisho lazima ipitie.

Kwenye majaribio mbalimbali kujidhihirisha ubora wake watu wa quality conteol watakuwa wanaelewa haya mambo... Swal langu je ni njia zipi zinatumika kufanya majaribio au kuchek quality ya hizi condomu kabla ya kutufikia sisi watumiaji wa mwisho?

Sababu naona zimekuwa too easy kuapsuka. Kias cha kwamba mtu unakiwa unauza. Mechi kijinga... Mwenye uelewa wa hili jambo anihabarishe.
Shukrani.
 
Mkuu wewe utakua unazivaa vibaya na kuweka shinikizo hewa binafsi nikiwa kama MDAU WA AFYA MWANDAMIZII SENIOR.

Cheap condom kwa bongo naonaga nzuriii ni BULL CONDOM ZIPO VIZURI izi hata ukichakatana nayo una feel kitu halisi kuzizidi kondomu nyingi.

KUZIDI ROUGH RIDE, FIESTA, EROTICA, BARE BACK, KING SIZE, DUME, MOODS, FLAVOURS, DUREX, KAMASUTRA, POWER PLAY,WET N WILD, TATU BOMBA, ORGAZMAX, LIFE GUARD kwa uchache..
 
Bado mapema ndo maana akili bado ina charge unawaza afya yako.

Ngoja muda siku, saa na dakika zisogee.

Na hasa as the graph of sobriety approaches zero 😁😁😁😉😉tupo hapa.

Ukishapiga vyombo huwazi hilo ng'o. Kesho yake utakuja KU revisit sredi huku umenuna na majuto juu😁😁🤣
 
Mean haihitaji fujo nying…then quality haijafikia viwango 😂😂
Quality inakuwa ipo sawa sawa ( labda ukute ime expire, au zimetunzwa mazingira mabaya ), ila unakuta mzee umepitiliza viwango vyao vya makadilio, unanitumia ndoa dk 30 lazima ichakae tu 😅😅 inabidi waje na condom zenye uvumilivu tofauti kama Tyre za gari zipo za mashindano na za kawaida ili kuepuka mambo kama hayo
 
Mkuu wewe utakua unazivaa vibaya na kuweka shinikizo hewa binafsi nikiwa kama MDAU WA AFYA MWANDAMIZII SENIOR.

Cheap condom kwa bongo naonaga nzuriii ni BULL CONDOM ZIPO VIZURI izi hata ukichakatana nayo una feel kitu halisi kuzizidi kondomu nyingi.

KUZIDI ROUGH RIDE, FIESTA, EROTICA, BARE BACK, KING SIZE, DUME, MOODS, FLAVOURED, DUREX, KAMASUTRA, POWER PLAY,WET N WILD, TATU BOMBA, ORGAZMAX, LIFE GUARD kwa uchache..
Dah. Mkuu wewe kweli PhD

Shubamiti
 
Mkuu wewe utakua unazivaa vibaya na kuweka shinikizo hewa binafsi nikiwa kama MDAU WA AFYA MWANDAMIZII SENIOR.

Cheap condom kwa bongo naonaga nzuriii ni BULL CONDOM ZIPO VIZURI izi hata ukichakatana nayo una feel kitu halisi kuzizidi kondomu nyingi.

KUZIDI ROUGH RIDE, FIESTA, EROTICA, BARE BACK, KING SIZE, DUME, MOODS, FLAVOURS, DUREX, KAMASUTRA, POWER PLAY,WET N WILD, TATU BOMBA, ORGAZMAX, LIFE GUARD kwa uchache..
Nimekupata mkuu ntachunguza tena kwenye uvaaji wangu
 
🔹Unakuja kuvaa ndom tayari ulishaichezea kwa kuoshika bare hand itasaidia nini?

🔹 Unavaa ndom haifiti mpaka juu lakini ukikutana na mwenye kina kirefu inazama hadi miambili zinazoninginia itasaidia nini?
 
Sababu naona zimekuwa too easy kuapsuka. Kias cha kwamba mtu unakiwa unauza. Mechi kijinga... Mwenye uelewa wa hili jambo anihabarishe.
Shukrani.
Usivae Condoms za Misaada (Msaada) zile ni rahisi sana kupasuka, ingia Pharmacy nunua Condoms kuanzia 4,000 kwenda juu imara, safi na salama, acha hizi za 1,000 mpaka 3,000.. kwa hio test ya kwanza ni pesa yako kizuri ni gharama ingawa unakojoa mara moja tu chukua Rough Rider (s) zako kadhaa nenda kapige machine sio unaparamia Zana unakuja kulalamika humu
Screenshot_20260327_172744.jpg
 
Quality inakuwa ipo sawa sawa ( labda ukute ime expire, au zimetunzwa mazingira mabaya ), ila unakuta mzee umepitiliza viwango vyao vya makadilio, unanitumia ndoa dk 30 lazima ichakae tu 😅😅 inabidi waje na condom zenye uvumilivu tofauti kama Tyre za gari zipo za mashindano na za kawaida ili kuepuka mambo kama hayo
Yes waje na strategies za kutengeneza condom zinazovumilia watu wa masafa marefu 🤭🤭
 
🔹Unakuja kuvaa ndom tayari ulishaichezea kwa kuoshika bare hand itasaidia nini?

🔹 Unavaa ndom haifiti mpaka juu lakini ukikutana na mwenye kina kirefu inazama hadi miambili zinazoninginia itasaidia nini?
Na sisi ambao tukivaa condoms hata tuivute mpaka juu haisogei mpaka mwisho inaishia hapo katikati yaa mpini wa jembe kwa hio mna mpango gani wa kutuongezea size?
 
Quality inakuwa ipo sawa sawa ( labda ukute ime expire, au zimetunzwa mazingira mabaya ), ila unakuta mzee umepitiliza viwango vyao vya makadilio, unanitumia ndoa dk 30 lazima ichakae tu 😅😅 inabidi waje na condom zenye uvumilivu tofauti kama Tyre za gari zipo za mashindano na za kawaida ili kuepuka mambo kama hayo
IMG-20260129-WA0018.jpg

Kuna jamaa yangu mmoja yeye hutumia hizi LUBE kama mbadala wa kondomu.

Yeye hata mademu wa bar anatumia hicho kimiminika kuondoa friction WATU NOMA SANAAAAAA
 
Mkuu wewe utakua unazivaa vibaya na kuweka shinikizo hewa binafsi nikiwa kama MDAU WA AFYA MWANDAMIZII SENIOR.

Cheap condom kwa bongo naonaga nzuriii ni BULL CONDOM ZIPO VIZURI izi hata ukichakatana nayo una feel kitu halisi kuzizidi kondomu nyingi.

KUZIDI ROUGH RIDE, FIESTA, EROTICA, BARE BACK, KING SIZE, DUME, MOODS, FLAVOURS, DUREX, KAMASUTRA, POWER PLAY,WET N WILD, TATU BOMBA, ORGAZMAX, LIFE GUARD kwa uchache..
rough riders wanazipenda sababu ya vile vipele vyake,, wanasema zinawakuna wadada wakati hata sio kweli
 
Back
Top Bottom