Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi...
Wakuu wiki iliyopita sikio langu liliingia maji nilijaribu kutoa kwa njia ya kuinamisha lakini maji yalitoka pamoja na uchafu sasa kuanzia juzi sikio langu limekosa kusikia yaani moja linasikia...
Utangulizi
Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles. Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko...
Lupus ni ugonjwa unaotokana na hitilafu kwenye mfumo wa kinga ya mwili unaosababisha mwili kupigana /kushambulia na tishu na viungo vyake wenyewe. Ugonjwa huu unaweza kusababisha madhara kwa...
ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI 🦈OMEGA 3 FAT ACIDS
Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake.
Faida za...
Jamani hali zenu,
Alfajiri hii nikiwa kwenye maandalizi ya tendo ilitokea hitilafu kidogo ya ulengaji wa tundu.
Mimi ni mnene sana ivo uzito wangu wote ukabebwa na uume.
Ilikua hvi, nilikosea...
'Pseudocyesis' ni muonekano wa dalili zote za ujauzito anazopata mwanamke wakati kiuhalisia hana ujauzito. Mwanamke anaweza kuwa na dalili zote za ujauzito kama kutapika mara kwa mara, shida ya...
Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila...
Jf doctor naomba ushauri, mimi na mke wangu tumepata mtoto ambaye kwa sasa umri wake ni miezi 2.
Mtoto huyu ana tatizo ambalo imekuwa ngumu kwetu kuelewa, ni kwamba akiwa ananyonya anatoa sauti...
Hello,JFmembers, welcome doctors,gynecologists and experienced people,
I had c sections few months ago and I am pregnant again, I am scared.
Should I keep the pregnant?
Is it safe?
Jamani nina fangasi kwenye pumbu (korodani) zinanisumbua sana (zinawasha), msaada tafadhali maana nimetumia dawa za kupaka lakin wapi.
Mwenye kujua tiba asili naomba anisaidie.
African Man Dem has 17 young people, all drug addicts, who receive free social services. They are provided with food, clothing, medical care, and given payments. There are chicken farming...
Jamani mimi mwenzenu naomba kuuliza. Mara nyingi nimekuwa naota ndoto ambapo katika ndoto hizo ni kwamba huwa ninakuwa na uwezo wa kuruka na kupaa hewani nikielea.
Tatizo ndoto hizi huwa naziota...
NJIA KUMI ZA KUZUIA MAGOJWA YASIYO AMBUKIZWA
Magonjwa yasiyambukizwa ni magonjwa yasiyo na vimelea vinavyoweza kusambazwa.Mfano ni magonjwa sugu ya njia ya hewa ,kisukari,kuoza meno,magonjwa sugu...
Habari wakuu
Nikama miezi miwili hivi nawashwa sana
nikimaliza kuoga.
Naweza kaa nusu saa nzima najikuna hii inaweza kuwa inasababishwa na nini?
Natiba yake ni nini?
HATUA ZA KUACHA KUVUTA SIGARA
Madhara ya kiafya yatokanayo na uvutaji sigara ni makubwa na yanahatarisha si tu uhai wa mvutaji bali hata na watu wengine wanaovuta moshi kutoka kwa mvutaji. Kwa...
Wakuu napitia mtihani mgumu sana maishani mwangu,
Mke wangu amegundilika ana uvimbi wa kansa kwenye ubongo unaokua kwa kasi sana na kupelekea macho kupishana maumivu yasio isha ya kichwa...
Habari! Wakuu naomba kujuzwa au kufahamishwa. Kutokana na nature ya kazi yangu imenifanya kuwa kilasiku nakunywa sana energy drinks tofauti tofauti mfano Azam energy (ya chupa na ile ya can), mo...