Sikio limepoteza uwezo wa kusikia vizuri baada ya kuingia maji

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,795
2,000
Wakuu wiki iliyopita sikio langu liliingia maji nilijaribu kutoa kwa njia ya kuinamisha lakini maji yalitoka pamoja na uchafu sasa kuanzia juzi sikio langu limekosa kusikia yaani moja linasikia lakini hili moja nasikia kwa mbali sana naomba kwa hapa Dar es Salaam Hospitali gani inahuduma bora ya masikio.

Asanteni
 

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
4,500
2,000
Maji yasingeingia huo uchafu ungeutoa lini? Tujengeni mazoea ya kusafisha masikio yetu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom