litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 731
- 1,377
Jamani hali zenu,
Alfajiri hii nikiwa kwenye maandalizi ya tendo ilitokea hitilafu kidogo ya ulengaji wa tundu.
Mimi ni mnene sana ivo uzito wangu wote ukabebwa na uume.
Ilikua hvi, nilikosea tundu na kuukita uume kwenye mbao ya pembeni ya kitanda, hivyo uzito wote wa mwili wangu ukabebwa na uume.
Ikabidi nijigeuze chap na kulala chali,kuhamaki tumbo limeshamwagika. Na nyama zilijimwaga km cm 20 kushoto na kulia.
Ni km umepinda ghafla na inaonekana baadhi yamishipa imevunjika. Ikabidi nigailishe tendo.
Mpenzi wangu amesema nikitumia dawa utakaa sawa ni mshtuko tu.
Kuna dawa zozote za asili za kuuchua uume? Mategemeo ni week 2 kupona ila mm nataka kabla ya week niwe nimepona.
Ahsanteni.