Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

Discussion in 'JF Doctor' started by Rastad, Oct 13, 2011.

 1. R

  Rastad Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi mwenzenu naomba kuuliza. Mara nyingi nimekuwa naota ndoto ambapo katika ndoto hizo ni kwamba huwa ninakuwa na uwezo wa kuruka na kupaa hewani nikielea.

  Tatizo ndoto hizi huwa naziota mara nyingi, bora ingekuwa naota mara moja moja lakini zinajirudia.

  Zina maana gani?

  =========

  Similar cases:
   
 2. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Jiandae kufanya kazi kwny shirika la NASA
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  nimewahi sikia kuwa hizo ndoto ndo ndoto nzuri..mradi ukishaapaa ushuke chini...lol
   
 4. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,255
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hvi yule sheikh wa magomen alishafariki eeeeh?,alikuwa mtaalam sana wa mambo hayo
   
 5. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mr.mzumbe..maskhala hayo ..
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kuna kipind nilikuwa na ndoto kama zako, kwa sasa siot tena ila nilikuwa nainjoy sana
   
 7. R

  Rastad Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilijua labda zinahusiana na majin
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Uzuri wake nini??
   
 9. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Ni kawaida hiyo hasa kipindi mambo yako yanapokuendea vizuri hali hii hujitokeza, wakati mwingine inakaa muda mrefu utadhani hauko ndotoni.
   
 10. m

  mhondo JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ni ndoto za kichawi. Inawezekana wachawi wanakutumia usiku bila wewe kujijua. Ni vizuri ukaombewe.
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2013
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Hii ndoto naota mara nyingi napaa angani ina maana gani? Nashindwa kuelewa kwani naiota mara nyingi sana nimetafuta maana yake nashindwa kupata jibu,nanyoosha mikono juu nakunja magoti kidogo,nikiinua magoti napaa na watu wengi wanakuja kushuhudia hilo,,maana yake nini ndugu zangu.
   
 12. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2013
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,763
  Likes Received: 8,037
  Trophy Points: 280
  Utakuwa sasa unakaribia kuingia mwezini. Umeanza lini kupaa?
   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2013
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu tuache utani,hayo mambo ni serious na yananiogopesha wakati mwingine
   
  Last edited by a moderator: Jan 14, 2016
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,352
  Trophy Points: 280
  ​@director1 ukiona dalili za kupaa uni pm ndotoni ili tupae wote mwana, haiwezekani uhondo uufaidi peke yako
   
 15. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2013
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Kapime malaria kiongozi
   
 16. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Unaota ukiwa umelala au ukiwa macho.
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2013
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu naota nikiwa nimelala'na nimeiota mara nyingi
   
 18. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2013
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nenda hospital kapime afya kama ni mkirsto nenda kwenye maombi na kama ni mwislam kula nyama iliyochinjwa na mkristo(Siku nyingine ukiota jikague kama umepiga bao isijekuwa wakati wa finishing ndio unadhani unapaa
   
 19. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2013
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,807
  Likes Received: 3,704
  Trophy Points: 280
  wewe hatari ... angalia muda mwingine usije ukadondoka na tukasema we mwanga .... ila ukipaa huwa unaelekea wapi ..?
   
 20. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2013
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Haahaahaa:) Na akifika huko mwezini kuna uwezekano mkubwa kubakia hukohuko permanently!
   
  Last edited by a moderator: Jan 14, 2016
Loading...