Dawa ya kienyeji ya kuyeyusha mafuta mwilini

Dawa ya kienyeji ya kuyeyusha mafuta mwilini

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,020
Habari wakuu,
Naomba kufahamishwa dawa ya asili (ya kienyeji isiyo na madhara) inayoweza kuyeyusha Mafuta mwilini,
Najua huku wapo wajuzi wa mambo ya afya na tiba a silk.
Wasalaam.
 
Habari wakuu,
Naomba kufahamishwa dawa ya asili (ya kienyeji isiyo na madhara) inayoweza kuyeyusha Mafuta mwilini,
Najua huku wapo wajuzi wa mambo ya afya na tiba a silk.
Wasalaam.
kunywa kila siku juis ya limao kw amaji ya moto asubuhi kabla ya kul kitu mafuta tumboni yataondoka zake
 
Chang'aa, valuer, k-vant, konyagi..... Na sasa imekuja visungura bei chee.... Fuga Rasta, vuta bangi nyingi sana. Cancel chakula .... Wiki moja tu utakuwa mwembamba kama sindano. HAINA MADHARA LABDA KULEWA TU.
 
Fasting/ funga.
Options
• water fasting
• salad/fruit fasting.
Acha
Kula sukari na vyakula vya wanyama kama maziwa, mayai, yogurt, nyama n.k, matunda yenye sukari nyingi kama nanasi na ndizi.
Zaidi sukari
Ziada
Fanya mazoezi, pendelea kutumia machungwa, limao, ukwaju, matunda.
 
Back
Top Bottom