Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hello waungwana wa JF. Naombeni kuuliza kama kuna mtu aliyetumia dawa ya kutibu kisukari iwe ya hospital au mitishamba naomba tuwasiliane please ni kisukari type 2 boss. Sio wale Akina mzizi...
5 Reactions
69 Replies
12K Views
Wataalamu wanasema Ukitaka kupunguza uzito, punguza kula vyakula vyenye wanga badala yake tumia mbogamboga na matunda Kwanini wanasema hivyo Thread Vyakula kama viazi, chipsi, mkate, na ngano...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Mdogo wangu anatatizo la masikio kumuuma kwa ndani, naomba msaada wa hospital nzuri hapa Dar es Salaam ambayo naweza kumpeleka akatibiwa vizuri. Msaada wenu ni muhimu Asante
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Habarini wana JF naomba msaada kwa waliofanikiwa kupona madhara yanayosababishwa na upigaji wa punyeto kwa mdaa mrefuu mbinu walizo tumia matibabu na dawa walizotumia mpaka kurudisha uwezo wao wa...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Habar wakuu hivi pituitary gland huwa nayo inaweza kuwa na shida na itasababisha mtu kupata tatizo gani
1 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanapenda kula kula vyakula vya njiani, vyakula vya kukaanga kama kachori kuku supu na chips. Hivi vyakula ni hatari kwa afya yako ifike mahali watanzania tujionee...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wakuu hivi prolactin ikiwa nyingi husababishwa na nin
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu habar Kuna anaejua kutumia binzari na pilipili manga kama tiba ya kuimarisha kinga
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Habarini wakuu, Mimi naombeni msaada bao moja nachukua Masaa mawili hadi matatu na nikishapiga chali. kuna muda mwingine naweza nisimalize kabisa nikaahirisha mechi. Je, huu niugonjwa ama ni...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
JF doktaz naomba msaada wenu wa dawa gani ya kutuliza hangover AKA mning'inio.
0 Reactions
385 Replies
72K Views
Habari wakuu, msaada wenu naaangamia. Nina tatizo la thyroids ambayo imepelekea niwe na fatique uchovu wa mwili muda mrefu, kukosa nguvu za utendaji kazi na kuishiwi hamu ya tendo la ndoa kabisa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mwenye pdf ya medical Examination Form, ambayo attitudinal mtoto kwenda shule. Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵...
20 Reactions
273 Replies
11K Views
Wakuu naomba kwa anaefahamu dawa hasa za asili au zozote ambazo zinasaidia mfupa kuunga haraka. Kama hazipo pia naomba nijulishwe au kama kuna njia yoyote inayoweza kutumika kusaidia hili...
0 Reactions
45 Replies
20K Views
Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada. Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu wote. Bila kuwachosha niende kwenye mada iliyonifanya kuhitaji msaada wa mawazo yenu. Ni kwamba nimegundulika nina cancer ya ini iliyosababishwa na hepatitis B na hapa nilipo...
4 Reactions
151 Replies
24K Views
Kuwasiliana na daktari wako kwa ufanisi ni muhimu sana kwa afya yako. Hata hivyo, inaweza kuwa na changamoto kwa baadhi ya watu kuhisi hofu au kukosa uhakika jinsi ya kuzungumza na daktari wao...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Habar wakuu msaada wenu nikipima presha mapigo ya moyo huwa Yako chini yanachini yanakua 57 au Hadi 48 na huwa naskia upande wa moyo kwa nyuma ya mgongo kunauma..msaada wenu tafdhali presha husoma...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Hofu ya kuongea mbele za watu, kukutana na watu wapya na matukio kama hayo ni ugonjwa unaotibika. Zijue dalili na utafute matibabu. USITESEKE: - Kuogopa kukutana au kujichanganya na watu hasa...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari Wana jukwaa nimekamatwa kweli kuna kitu kimeniingia jana jichoni Sasa kwa jana ile nikapotezea nikajua ni kilala nikaamka kitakuwa kishatoka maana ni Kawaida. Sasa hii hali sio ya kawaida...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…