Suluhisho la unene na uzito uliopitiliza Fanya yafuatayo

maishakujipanga

Senior Member
Feb 13, 2017
115
118
Wataalamu wanasema
Ukitaka kupunguza uzito, punguza kula vyakula vyenye wanga badala yake tumia mbogamboga na matunda

Kwanini wanasema hivyo

Thread

Vyakula kama viazi, chipsi, mkate, na ngano za aina zote hukaa tumboni zaidi ya siku tatu.

Vilevile na nyama nyekundu
Kunasababisha kuongezeka uzito na tumbo kuongezeka kwa haraka sana.

Kuna wakati tumbo linakuwa kubwa kupitiliza
Hali inayosababishwa na kula wanga kwa wingi, kutokunywa maji mengi, na kula hovyo hovyo.

Kama mtu unataka kabisa kuondoa kitambi na uzito uliopitiliza,

Kwanza unatakiwa kula milo mitatu kwa siku, na si kujinyima msosi kisa anataka apunguze uzito

Vyakula vya wanga vinasababisha mafuta yanarundikana mwilini na matokeo yake ni kuwa na nyama nyingi, kitambi, tumbo kubwa na uzito uliopitiliza.

Na athari zake ni kubwa sana

Kuna njia za asili, na nyepesi za kuweza kukupa mwili unaoutaka kuwa nao

Itaendelea.........
 
Hapa inadondoshwa red 🍷 mixer Konyagi. Muziki wake utaukubali mwenyewe
 
Back
Top Bottom