malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,919
- 4,709
Habar wakuu hivi prolactin ikiwa nyingi husababishwa na nin
Habar wakuu hivi prolactin ikiwa nyingi husababishwa na nin
Mkuu na presha ikawa sawa alafu mapigo ya moyo yakiwa chini pr 53-58 na pia maumivu upande wa nyuma ulipo moyo uku ktk bega sehii inamaana ganiHabari!
Prolactin ni kichoche kinachotoa msukumo chanya kwenye mwili ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi.
Utoaji wa Prolactin kwa wingi huweza kutokana na:
1: Kichoche toka tezi la Hypothalamus kikihimiza tezi hilo kuzalisha homoni zaidi ili kuendana na mazingira/karibu na kujifungua au wakati wa kunyonyesha.
2: Mama akiashajifungua, kitendo cha mtoto kunyonya pia husisimua kuongezeka kwa prolactin na maziwa kutoka zaidi.
3: Uvimbe ndani au nje ya tezi husika ambao unatoa homoni ya prolactin huweza kusababisha kuongezeka kwa homoni hii.
4: Stress kwa mtu husika bila kujali hali yake (kuzaa au ujauzito) huweza kusababisha kichocheo husika kuongezeka na mhusika kutoa maziwa au maziwa kujaa. Hii inatokana na kiranja mkuu wa tezi husika kuwa ni ubongo kupitia tezi la Hypothalamus.
Kuna watu ambao mapigo yao ya moyo yapo chini kidogo 55-58 na inakuwa haina shida kwao (normal).Mkuu na presha ikawa sawa alafu mapigo ya moyo yakiwa chini pr 53-58 na pia maumivu upande wa nyuma ulipo moyo uku ktk bega sehii inamaana gani
Nahitaji mtaalamu wa afya anaehusika na thyroids au general Dr..alafu ktk ziwa chini kidgo kuelekea nyuma ya mgongo ndo kunakua kunauma Hali nnayo kama wiki3Kuna watu ambao mapigo yao ya moyo yapo chini kidogo 55-58 na inakuwa haina shida kwao (normal).
Binafsi mapigo nyangu pia yapo kwenye usawa huu na nikawaida. Ikipanda mara nyingi ni pale nakuwa ninaumwa.
Uwezekano mkubwa ni kuwa wakati thyroid homoni inakuwa juu, mapigo ya moyo nayo huenda juu. Ukitibia mambo hurejea sawa/mapigo ya moyo hushuka.
Kama mapigo ya moyo yako hapo na hauna dalili nyingine zozote basi relax. Tafsiri halisi ya vipimo hivi si namba tu bali na hali halisi ya mhusika ni muhimu kwenye majumuisho.
Maumivu ya kifua:
Si rahisi kuyasemea sana mpaka uwe umepata sehemu husika, ujue aina ya maumivu na kiasi chake, nini husababisha yatokee na nini huleta nafuu pia hukaa kwa muda gani.
Ingawa moya ya kitu nawwza kusema ni uhusika wa tezi/thyroid kama limevimba linaweza kusababisha maumivu yanayoelekea kifuani au mgongoni. Ingawa unahitaji mtaalamu wa afya kukusikiliza vyema, kufanya ukaguzo na vipimo ili kujiridhisha na mambo hapo juu.
Hospitali kuanzia ngazi ya kanda vs mkoa wanapatikana.Nahitaji mtaalamu wa afya anaehusika na thyroids au general Dr..alafu ktk ziwa chini kidgo kuelekea nyuma ya mgongo ndo kunakua kunauma Hali nnayo kama wiki3
Kuna upande wa saikolojia pia kunahitaji utulivu, hivyo ni muhimu kumuona mwanasaikolojia pia.Alafu hii Hali ya nguvuzu zakiume kuzidi kuporomoka siku Hadi siku nguvu zimekua kidogo sana yaan hata hisia nakosa kabisa ikitokea make anataka hata uume kusimama kwa shida sana legelege ukisimama nkichelewa kuweka uume ukeni inalala haiamki Tena au nikifanikiwa kusex nidakika2 namaliza au italala wakati Iko ukeni...tangu nimeanza ugua thyroids mwezi wakumi Hadi kufikia mwezi wa tatu mwaka huu mambo ktk sex hayakua shida kabisa lakini tangu nianze mwezi wanne uwezo wakusex unazid poromoka...inafika nawaza akihitaji tendo nakua nahofu sana sijui hatma ya tendo kukaa imara ikoje
Haiwezi kuwa imechangiwa na thyroids Huku kushindwa kusex..kwani pia thyroid haipelekei mtu kuishiwa nguvu zakiume kabisaKuna upande wa saikolojia pia kunahitaji utulivu, hivyo ni muhimu kumuona mwanasaikolojia pia.
Ndiyo, tatizo la homoni ya thyroid huchangia pia suala la nguvu za kiume kutokuwa sawa. Lakini ukitibiwa hali hurejea vyema hivyo tatizo huweza kubaki kwenye saikolojua ya mhusika. Kwni kutokuwa sawa kisaikolojia pia huchangia sawa na matatizo mengine kwenye suala husika.Haiwezi kuwa imechangiwa na thyroids Huku kushindwa kusex..kwani pia thyroid haipelekei mtu kuishiwa nguvu zakiume kabisa
Sasa mkuu nauliza kama nilipimwa mwezi wa 2 hormones zikaja kuwa sawa nkaendelea na dozi mbona mpaka Sasa sjarejesha nguvu zakiume ...na Bado sjajua tangu mwezi wapili nipime hormones ziko sawa sjajua Hadi Sasa tangu kipindi Cha mwezi wa2 kama zimeshuka below normal au ziko juu
Hivi kuendelea kuwa namaumivu kwenye thyroids shida ni nin..alafu hivi wali na ndizi mbovu naruhusiwa kula kwenye mgonjwa wa thyroids1: Unapokuwa na ahida yoyote ya kiafya, mwili huteteleka kwa baadhi ya mambo kutokwenda sawa/kuwa kwenye mlinganyo. Unapopona pia unahitaji mwili kurejea vyema.
2: Kuwa na tashwishi na matazamio yaliyopitiliza, kutojiamini vyote vina athari hasi kwenye suala husika, relax na ufanyie kazi vyema haya yote.
Maumivu ya uvimbe wa thyroid ni matokeo ya mkandamizo wa mishipa ya dau, miahipa ya fahamu na misuli inayopita usawa wa tezi husika.Hivi kuendelea kuwa namaumivu kwenye thyroids shida ni nin..alafu hivi wali na ndizi mbovu naruhusiwa kula kwenye mgonjwa wa thyroids
Pole mkuuAlafu hii Hali ya nguvuzu zakiume kuzidi kuporomoka siku Hadi siku nguvu zimekua kidogo sana yaan hata hisia nakosa kabisa ikitokea make anataka hata uume kusimama kwa shida sana legelege ukisimama nkichelewa kuweka uume ukeni inalala haiamki Tena au nikifanikiwa kusex nidakika2 namaliza au italala wakati Iko ukeni...tangu nimeanza ugua thyroids mwezi wakumi Hadi kufikia mwezi wa tatu mwaka huu mambo ktk sex hayakua shida kabisa lakini tangu nianze mwezi wanne uwezo wakusex unazid poromoka...inafika nawaza akihitaji tendo nakua nahofu sana sijui hatma ya tendo kukaa imara ikoje