Mapigo yangu ya moyo Yako chini shida nin

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Habar wakuu msaada wenu nikipima presha mapigo ya moyo huwa Yako chini yanachini yanakua 57 au Hadi 48 na huwa naskia upande wa moyo kwa nyuma ya mgongo kunauma..msaada wenu tafdhali presha husoma 138/88 pr 57 or 48 au 148/91 pr 59 nb huwa nashida thyroids pia
 
Jaribu ekg test yaani mfumo wa umeme katika moyo...inaweza kuona tatizo....
 
Back
Top Bottom