malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,834
- 4,561
Habar wakuu hivi pituitary gland huwa nayo inaweza kuwa na shida na itasababisha mtu kupata tatizo gani
Ndiyo hupata shida. Na tatizo hutegemeana na jinsia pamoja na ukubwa wa tatizo lenyewe.Habar wakuu hivi pituitary gland huwa nayo inaweza kuwa na shida na itasababisha mtu kupata tatizo gani
Dalili zake huwa ni niNdiyo hupata shida. Na tatizo hutegemeana na jinsia pamoja na ukubwa wa tatizo lenyewe.
Zaidi, huweza kusababisha kisukari, kushindwa kusimamisha na uzalishaji wa mayai na mbegu, kupunguza uzalishaji wa maziwa (unyonyeshaji), uzito uliopindukia na mambo mengine mengi.
Pituitary gland ndo tezi kuu. Ina kazi kubwa sana mwilini. Athari hutegemeana na aina ya tatizo kwenye tezi husika.
Wahi hospitali kwa uchunguzi zaidi.
Pituitary ikiwa nashida inaweza kusababisha goitaNdiyo hupata shida. Na tatizo hutegemeana na jinsia pamoja na ukubwa wa tatizo lenyewe.
Zaidi, huweza kusababisha kisukari, kushindwa kusimamisha na uzalishaji wa mayai na mbegu, kupunguza uzalishaji wa maziwa (unyonyeshaji), uzito uliopindukia na mambo mengine mengi.
Pituitary gland ndo tezi kuu. Ina kazi kubwa sana mwilini. Athari hutegemeana na aina ya tatizo kwenye tezi husika.
Wahi hospitali kwa uchunguzi zaidi.
a)Kuumwa na kichwaDalili zake huwa ni ni
Mini me hizo dalili Sina ila nna multnoduler goitera)Kuumwa na kichwa
b)uzito mkubwa
c)Shinikizo la damu
d)Kukosa usingizi
e)Kunyong'onyea
f)Kupoteza hisia na kupata vipindi vya hedhi visivyoeleweka
Nfio mkuu.. Yan kam pituitary gland ikishindwa kutoa tsh (thyroid stimulating hormones) za kutosha, inaeza sababisha goitre..Pituitary ikiwa nashida inaweza kusababisha goita
Hapa nimekuelewa..kwaiyo ili isiwe nashida inatakiwa kufanya nin kuilinda ifanye kazi vizurNfio mkuu.. Yan kam pituitary gland ikishindwa kutoa tsh (thyroid stimulating hormones) za kutosha, inaeza sababisha goitre..
Ndiyo.Pituitary ikiwa nashida inaweza kusababisha goita
Kwanza tambua, kisababishi kikuu cha goita ni ukosefu wa madini ya Iodine.Nin kinatakiwa kufanyika ili pituitary isiwe nashida
Healthy life style.. Japokuwa sometimes inaweza kutokea kwa kuwa na autoimmune disorders..Nin kinatakiwa kufanyika ili pituitary isiwe nashida
Autoimmune disorders ni kitu ganiHealthy life style.. Japokuwa sometimes inaweza kutokea kwa kuwa na autoimmune disorders..
Mim niliambiwa diffused multnoduler goiter nkapewa lcarbimazole nkatumia ikareturn to hypoKwanza tambua, kisababishi kikuu cha goita ni ukosefu wa madini ya Iodine.
Kama umeambiwa kuwa multinoduler goiter imesababishwa na tatizo kwenye tezi ya pituitary basi unapaswa kuitibu tezi husika. Ama kumeza substitutes za homoni husika. Kama ipo kwa kiwango kikubwa basi unameza dawa za kupunguza. Kama zipo kwa kiwango kidogo basi unameza za kuboost homoni hiyo.
Sasa mkuu samahani kwa usumbufu hivi grave diseases nikitu Gani,na hashimotos ni kitu ganiKwanza tambua, kisababishi kikuu cha goita ni ukosefu wa madini ya Iodine.
Kama umeambiwa kuwa multinoduler goiter imesababishwa na tatizo kwenye tezi ya pituitary basi unapaswa kuitibu tezi husika. Ama kumeza substitutes za homoni husika. Kama ipo kwa kiwango kikubwa basi unameza dawa za kupunguza. Kama zipo kwa kiwango kidogo basi unameza za kuboost homoni hiyo.
Maana yake wewe Thyroid ilikuwa inazalishwa kwa kiwango kikubwa (hyperthyroidism)..Mim niliambiwa diffused multnoduler goiter nkapewa lcarbimazole nkatumia ikareturn to hypo
Grave disease na hashimoto ugonjwa mmoja ila reaction zake ndiyo tofauti. Inaposababisha hypothyrodism basi ni Hashimoto. Na ikiwa itasabisha hyperthyrodism basi hiyo ndiyo Grave disease.Sasa mkuu samahani kwa usumbufu hivi grave diseases nikitu Gani,na hashimotos ni kitu gani
Ni hali ya mwili kuanza kujishambulia wenyewe.Autoimmune disorders ni kitu gani
Iliturn to hypo nkacontact na dokta akanambia niendelee so mwezi wa pili nlipima clinic Tena ikaja normal ila still nkabiwa niendelee nkapunguziwa dozi ila Sasa hivi takriban wiki tatu nakua naskia maumivu upande wa kushoto ktk kifua chini ya ziwa inshort upande wa moyo pia nakua namaumivu yakukereketa mwanzo wa Taya ktk shingo na upande wakuliaMaana yake wewe Thyroid ilikuwa inazalishwa kwa kiwango kikubwa (hyperthyroidism)..
Icarbimazole hupunguza utengenezaji wa hormone ya Thyroid.
Kama imerudi kwenye hypothyroidism basi acha kuitumia. Kwa sababu itazidi kudidimiza kiwango cha thyroid.
Subiri kwa muda kisha kama bado itakuwa kwenye hypo basi kuna dawa iitwayo Subiri kwa muda kisha kama bado itakuwa kwenye hypo basi kuna dawa iitwayo Levothyroxine.
Ila kwanza iache hiyo. Wasiliana na daktari wako kwa msaada zaidi.
Daa umenielewesha vizur sana shukrani maana hata hospital sielekezwi hivi nimwendo wafaster faster tuGrave disease na hashimoto ugonjwa mmoja ila reaction zake ndiyo tofauti. Inaposababisha hypothyrodism basi ni Hashimoto. Na ikiwa itasabisha hyperthyrodism basi hiyo ndiyo Grave disease.
Kwa muktadha huo ni kuwa, mwili hutengeneza askari kwa ajili ya kujilinda kutokana na maambukizi. Inapohisi kuna kirusi kimeingia basi askari huwajibika kupambana naye.
Lakini katika hali isiyo ya kawaida, kuna askari wanaanza kuishambulia tezi ya thyroid na kuiongezea kasi katika utengenezaji wa homoni. Huko ndipo hutokea Grave disease.
Endapo askari hao wakaishambulia tezi ya thyroid na kupunguza utengenezaji wa homoni basi hutokea hypothyrodism. Na ndipo huitwa hashimoto.