MSAADA: Hospital nzuri ya kutibu Masikio

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,410
36,560
Habari wanaJF,

Mdogo wangu anatatizo la masikio kumuuma kwa ndani, naomba msaada wa hospital nzuri hapa Dar es Salaam ambayo naweza kumpeleka akatibiwa vizuri.
Msaada wenu ni muhimu

Asante
 
Muhimbili mkuu,mimi pia nimesumbulia sana na hilo tatizo,ila Muhimbili ni suluhisho na wanavifaa vya kutosha,hosptali zingine ni bla bla madaktar wapo ila vifaa hamna.
 
Nenda Ekenywa Magomeni! Wao wamespecialise kwny magonjwa kinywa tu (mdomo, masikio na pua)!

Nilikuwa naumwa sikio, nilienda pale na ambulance nikiwa katika hali mbaya sana nikapata huduma nzuri sana, nilipata special care kwa upande wa sikio, kuanzia hapo sijawai kupata tena tatizo la sikio
 
Jamaa wapo Vizuri kwa kweli kwenye masikio, Last week nilikuwa najikuna sikio na miwani kipande cha mkono kikavunjikia ndani! . waliniudumia kwa weredi mkubwa sana hawa jamaa
2B68F088-4B52-4027-BCCA-04D53882136C.jpeg
 
Nenda Ekenywa Magomeni! Wao wamespecialise kwny magonjwa kinywa tu (mdomo, masikio na pua)!

Nilikuwa naumwa sikio, nilienda pale na ambulance nikiwa katika hali mbaya sana nikapata huduma nzuri sana, nilipata special care kwa upande wa sikio, kuanzia hapo sijawai kupata tena tatizo la sikio
Gharama hazitishi???
 
Back
Top Bottom